Acheni Kujidanganya wanaume

Kibaharia ngoja nipige kimya tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Demu hana bikra lakini anaongea kwa kufoka na malingo sijui huwa anajionaje [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji23]
 
Imagine huu utaalamu wa kuchambua mapenzi ungetumika pia kwenye kupunguza tatizo la ukosefu ajira nchini, vijana wangapi wangekuwa wamepata ajira rasmi na zisizo rasmi.
 
Bikra siyo kipimo cha mimba mwanamke anaweza asiwe na bikra na akawa hajatoa hata mimba moja
 
Wakati mama yako mzazi anaolewa baba yako alikuwa BIKRA?
 
Mechi ya spain na tanzania hainogi inanoga ya spain na argentina yaani unampiga dogo wa miaka 6 wewe una 29 halafu unajisifu.....crazy mind
 
Imagine huu utaalamu wa kuchambua mapenzi ungetumika pia kwenye kupunguza tatizo la ukosefu ajira nchini, vijana wangapi wangekuwa wamepata ajira rasmi na zisizo rasmi.
Au sio
 
Nje ya mada kwanini viagra inauzwa kwa siri lama ni halali?

Kwanini Seran amepigwa bani
 
Upe ubongo nafasi ya kuwaza mengine!!kwanini kujipa stress kwa viungo ambavyo hata hauvimiliki!!

Huko mbeleni tutaoa sana single mothers coz tayari wanna uhakika wa kukupatia mtoto kuliko Hawa fresh waliotumia vidonge kuzuia mimba na wakati wanataka hizo mimba hazipatikani tena!!

Lipo janga la mabinti kutoshika ujauzito kwa sasa kutokana na kutumia uzazi wa mpango kabla hata ya kupata mtoto mmoja!Hadi watumie hormonal imbalance tablets Tena Kwa kubahatisha!!tuendapo game ni tough sana!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…