Los santos
JF-Expert Member
- Jan 14, 2021
- 1,034
- 2,171
heeeeunakuta binti kawa karatasi unaona michirizi ya kijani
wacha nikumege siri wanawake wanaojichubua wanakua na harufu kama ya chuma kilichopata moto
😂😂😂 mambo ya tumeric oil orijino. Mahii unapaka nini?
Yes Kuna ka harufu Fulani kabaya sana aisee Hadi kerounakuta binti kawa karatasi unaona michirizi ya kijani
wacha nikumege siri wanawake wanaojichubua wanakua na harufu kama ya chuma kilichopata moto
Hehehehe weusi wako Sudan na Kenya huko au west Africa ,Kwa Tz hatufiki hata roboTrust me hawaskusikii ongezs ssuti
Na tatizo jingine kuna watu weusi mpaka gizani huwaoni labda skenue meno nje na ndio sababu ya wao kujichubua
Hahahahaha daamambo ya tumeric oil orijino. Mahii unapaka nini?
Tuko nao mitaani wala picha sio lazima ila ukitaka zaidi tutakuleteaBila picha?
hujamboheeee
Na kujiuza imekuwa tatizo sugu la watu kutoka mikoa yte Tanzania hapo bado wale wanaotoka ule ukanda wa katereroMademu wa morogoro wanaojiuza dar wao wakifika kwanza kazi ni kujichubua, kuchora tattoo, kuvuta bangi na sigara na shisha, ugoro, unga na umalaya uliozidi. Mwenge, manzese, sinza na mwananyamala mademu wafupi kutoka moro wamejazana kwenye gesti uchwara wanauza ten shaw time.
sijambo shikamoo babuhujambo