Kusini pride
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,762
- 4,078
Kubwa jinga weYou're b*ch. Sorry ila ndiyo ukweli.
Kubwa jinga weYou're b*ch. Sorry ila ndiyo ukweli.
SawaKubwa jinga we
Haha hapo kwa menya nmepaelewaNguvu ya mwanaume ni uume wake ....msorho mbari TSA menya ...
Uume ukiwa na udumavu ndo utasikia porojo mingii
Ni mimi ila sababu ya kuninyima niliisababisha mimi pia kwa makusudi.Wewe si ndyo ulisema anakunyima unyumba mkuu na ukatushauri kuoa sio kigezo Cha kula mbususu muda wote unaotaka
Ukioa Mmachame ukazzeka naye ujue wewe ni mume bwege. Kwani, atakuletea washikaji wake akiwaita kaka zake. Kwa wamachame hata kaka zake, wajomba zake na kila mtu anakula tu mradi atoe pesa babaangu. Ni wa hovyo kuliko hata mbwa. Kutokana na uhovyo wao, hata wanaume wengi wamachame wanapenda kuoa makabila mengine lakini siyo hawa vyangu wao. Hovyo, hakuna mfano japo si wote. Asipokuwa changu, atakuwa chawa au awe vyote. Hawa na wapare si wa kuoa hata kutongoza achia mbali kuoaHali watu wazima!
Mimi nimeoa huko. Na mbaya zaidi nimeoa Machame, na tunazeeka pamoja tukiwa na watoto na wajukuu kadhaa.
Kifupi wanaume acheni udhaifu, mwanamke anakushindaje? Kuwa na misimamo uwe kiume. Watu mashuhuri na maarufu humu kama Taikoni wa fasihi pia waliwahi kunukuliwa wakisema wameoa huko.
'Stay' taliban, 'stay' Putin. 'Don't stay like hiv victimed old guy so called' baiden('joking').
Misukosuko ipo kwa kila mwanamke. Wote wanafanana kwa kiasi kikubwa.
Mama yako ni mwiba kwa baba yako. Na maisha yanakwenda.
Nilipigwa vita mno wakati namuoa huyu enzi hizo, ila kwa kuwa mimi ni 'Mnyamwezi' kwa asili na nina misimamo ya kiume kama siyo kikomando, nikamuweka mtoto kiganjani mpaka hivi leo.
Maisha ni wewe unavyotaka yawe. Ukitaka yawe hivi yatakuwa, yawe vile yatakuwa. Adui wa mwanaume ni yeye mwenyewe, siyo mwanamke.
Usipende kukenua kenua sana wala kucheka cheka sana. Usiwe muongeaji na mchekeshaji ili upate 'cheap credit' kwa mke au mpenzi wako, hakuna 'cheap credit' utakuwa 'fala'.
Vijana msiiache misingi ya wazee. Misingi ya kiafrika haipitwi na wakati. Ni wewe ndiyi utapitwa na wakati.
Cha mwisho ni kuwa, huyu mke wangu napenda sana kumlaza 'doggy'. Ingawa analalamika wakati mwingine akisema mimi ni muhuni na hayo ni ya vijana na sisi umri umekwenda, huwa sisikilizi, na zigo namwaga juu ya TAKO lake LAINI KUBWA.
Kisha napaka nalitelezesha na kuling'arisha TAKO lake KUBWA LAINI.
Hii yote ni misimamo. Nakiri kusema ingawa nimezeeka miye ni 'mnyamwezi' bado. Usifiche fiche makucha yako kwa mkeo.
Kuwa muwazi. Mimi nilimchana kuwa napenda ngono na napenda malaya. Alichukia mno ila nilimjengea mazingira ya kutonielewa na kuniheshimu. Tumeishi mpaka muda huu.
Acheni uoga vijana. Mabinti wa kaskazini ni wa kawaida mno. Kama ni kinywaji basi ni uji wa sembe wa chumvi wa 200.
Sioni na sijui ni kipi kinawaogopesha. Nawashangaa mno vijana mnavyolia lia.
Na hapa nimeandaa futa nimwagie kwenye 'wezere' leo jioni na nikojolee ndani.
Vijana zingatieni mahusia ya namna mwanaume wa kiafrika anatakiwa kuishi na mkewe wa aina YOYOTE. Msione yamepitwa na wakati. Rudini kwenye ASILI.
NB: maneno ndani ya funga semi ni aidha ya kiingereza au yasiyo rasmi.
Badilikeni vijana. Oeni! Ukijitambua utaoa mke wa kabila lolote na utaishi naye safi tu.
Kwa nini usipokuwa mume bwege huwezi kuzeeka naye?Ukioa Mmachame ukazzeka naye ujue wewe ni mume bwege. Kwani, atakuletea washikaji wake akiwaita kaka zake. Kwa wamachame hata kaka zake, wajomba zake na kila mtu anakula tu mradi atoe pesa babaangu. Ni wa hovyo kuliko hata mbwa. Kutokana na uhovyo wao, hata wanaume wengi wamachame wanapenda kuoa makabila mengine lakini siyo hawa vyangu wao. Hovyo, hakuna mfano japo si wote. Asipokuwa changu, atakuwa chawa au awe vyote. Hawa na wapare si wa kuoa hata kutongoza achia mbali kuoa
Nguvu ya mwanaume ni uume wake ....msorho mbari TSA menya ...
Uume ukiwa na udumavu ndo utasikia porojo mingii
Wewe hujui aliyopitia mzee wangu Mkapa. Nikupe moja. Mwalimu Nyerere aliamua kumpa urais kutokana na usafi wake. Je mke wake mama Anna Tamaa hakumchafua kwa kashfa nyingi ikiwemo ya NBC na wale wezi toka Afrika ya Kusini walioletwa na makampuni ya mama na kaka zake? Hapa hujaongelea uzinzi wa hapa na paleKwa nini usipokuwa mume bwege huwezi kuzeeka naye?
Mkapa alioa Mchagga ila mpaka wamefika uzee kabisa. Hilo unaliongeleaje?
Hayo ya uzinzi siyo mke wake tu, ni tabia ambazo ni common. Kupitia hayo kwa Mkapa siyo hoja sana kwa sababu wapo wanaopitia mazito sana kuliko hayo. Suala ni je, kwa nini walizeeka pamoja? Misukosuko ni kawaida mahusianoni issue ni why walizeeka wote??Wewe hujui aliyopitia mzee wangu Mkapa. Nikupe moja. Mwalimu Nyerere aliamua kumpa urais kutokana na usafi wake. Je mke wake mama Anna Tamaa hakumchafua kwa kashfa nyingi ikiwemo ya NBC na wale wezi toka Afrika ya Kusini walioletwa na makampuni ya mama na kaka zake? Hapa hujaongelea uzinzi wa hapa na pale
Ukiona hivyo, alikuwa mme bwege. Mbona wapo wengi kuanzia akina Warioba, Hussein Mwinyi, January Makamba na wengine wengi waliooa haya mashakupe na wakawekwa maziwani!Hayo ya uzinzi siyo mke wake tu, ni tabia ambazo ni common. Kupitia hayo kwa Mkapa siyo hoja sana kwa sababu wapo wanaopitia mazito sana kuliko hayo. Suala ni je, kwa nini walizeeka pamoja? Misukosuko ni kawaida mahusianoni issue ni why walizeeka wote??
Kwa hiyo hao wote uliowataja wameoa Wachagga?!Ukiona hivyo, alikuwa mme bwege. Mbona wapo wengi kuanzia akina Warioba, Hussein Mwinyi, January Makamba na wengine wengi waliooa haya mashakupe na wakawekwa maziwani!
Humjui Mkapa vizuri. Angekuwa hai ningekupa email yake lau umsalimie ujue namjua na tunajuana vilivyo.Kwa hiyo hao wote uliowataja wameoa Wachagga?!
Mkapa hakuwahi kuwa bwege hata siku moja. Alikuwa ni true man. Ni Mmakua yule kumbuka!
Hahaha wanawake wana mbinu huyo washamnasa katika radaAiseee Kuna msukuma mmoja anapelekeshwa na mkewe sema nahisi kalogwa.
Sawa nimekuelewa mzee mwenzangu. Ila hata hivyo Mkapa alikuwa mwanaume haswa. Angekuwa legelege huenda angeshafanyiwa umafia. Mmakua yule alikuwa mwanaume naye!.Humjui Mkapa vizuri. Angekuwa hai ningekupa email yake lau umsalimie ujue namjua na tunajuana vilivyo.
Huu ni uongo tu wa kipuuzi na ujinga mkubwaWanaume dhaifu, wajinga na wasiojielewa ndio wanalaumu wanawake wa kaskazini, ukiwa strong unajielewa mbona mnadumu. Wanawake tunapenda wanaume wanajioamini na wenye akili ya kuongoza familia ukiwa dhaifu tutakusaidia