Achaneni na makanisa ya Kinabii

Achaneni na makanisa ya Kinabii

Shotocan

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2023
Posts
9,939
Reaction score
15,943
Mungu anatafuta watu wa kumuabudu sio watafuta unabii kanisani achaneni na makanisa ya manabii tafuteni ya waabuduo tu

Kutwa kuongelea dunia na mambo ya dunia tu

Waumini hameni hiyo mikanisa ya kinabii nendeni kwenye makanisa ambako waabudu tu Mungu na kuondoka zako

Achaneni na hao wapuuzi manabii ambao kutwa kuongelea ya duniia tu na fahari zake wafuasi wa shetani hao.

Wanataka watu tu waonyeshwe tu fahari za dunia na vitu vya dunia, mara naona Samia, mara ohh naona mwaka huu utapata gari na nyumba mara ohh naona CCM inaaanguka na Chadema inashika mara ooh naona bibi yako kakuroga

Ujinga mtupu ni wakati wa waumini kushtuka na kuhama hiyo mikanisa ya waona dunia na fahari zake na vilivyomo duniani

Watafute ambayo unaabudu Mungu tu na kuondoka zako sio kusikiliza porojo za hao wanga wawinda pesa na mali za dunia kupitia kivuli cha unabii

Yesu alisema Mungu anatafuta watu wa kumuabudu sio kufuata nabii au chochote
 
WAKATI WA KUMUENZI KRISTO ALIYERUDI UTUKUFU WAKE OOOBU! Viumbe vyote vya Mungu leo na viinuke tunapomkaribisha Yeye aliyekufa msalabani Kalvari kwa ajili ya mwanadamu mwenye dhambi. Baba, leo wateule wako duniani kote wanakukaribisha kwenye ulimwengu wako katika ujio wako wa pili kuanza utume wako wa hukumu duniani. Katika jina la Bwana wetu Yesu Kristo Amina.
FB_IMG_1753091507555.jpg

Asante Baba.
 
Huyo Mungu yupo so insecure hadi anatafuta watu wa kumuabudu?

Huyo Mungu akiabudiwa anafaidika nini?

Huyo Mungu asipoabudiwa anapungukiwa nini?

Hivi huyo Mungu ana jielewa kweli?
 
Kwamba wanaoishi Dar wawe wanasafiri kwenda kuabudu vijijini Kisha wanarejea Tena!
Hawa wajiita manabii wamejazana mijini kuuza nabii zao

Makanisa yako mengi tu ambayo hujikita kwenye kuabudu tu kama Yesu alivyoagiza.kuwa .Wanatakiwa watu wa kuabudu Mungu kanisani si vinginevyo .Manabii wameharibu kanisa na kulifanya kuwa materialistic kuwa mtu anaenda kanisani kufuata vitu materials vya kidunia vya kimwili

Na manabii hawa wamejaa macho ya kuona vya dunia zaidi ni manabii wa dunia sio Mungu

roho waliyonayo sio ya Mungu ni ya dunia na mambo yake ya dunia zikiwemo siasa,mali,majumba ya fahari nk hawazalishi waabuduo katika roho na kweli
Quality ya kiroho na tabia za viongozi wenyewe hao manabii na waumini wao iko chini mno.Haviko kabisa kwenye standard za kanisa aliloamuru Kristo.Kuabudu hakupo wamejaa roho mtaka vitu sio Roho Mtakatifu
 
Huyo Mungu yupo so insecure hadi anatafuta watu wa kumuabudu?

Huyo Mungu akiabudiwa anafaidika nini?

Huyo Mungu asipoabudiwa anapungukiwa nini?

Hivi huyo Mungu ana jielewa kweli?
Biblia kitabu cha Warumi 11:36 inasema
"Kwa maana vitu vyote vyatoka kwake na vipo kwa ajili yake na vyote vinadumu kwake. Utukufu ni wake milele. Amina."

Binadamu uliumbwa si kwa ajili yako ni kwa ajili yake yeye

Hivyo kumuabudu ni haki yake yeye aliyekuleta duniani
 
Mungu anatafuta watu wa kumuabudu sio watafuta unabii kanisani achaneni na makanisa ya manabii tafuteni ya waabuduo tu

Kutwa kuongelea dunia na mambo ya dunia tu

Waumini hameni hiyo mikanisa ya kinabii nendeni kwenye makanisa ambako wwaabudu tu Mungu na kuondoka zako

Achaneni na hao wapuuzi manabii ambao kutwa kuongelea ya duniia tu na fahari zake wafuasi wa shetani hai Wanataka watu tu wasali waonyeshwe tu fahari za dunia na vitu vya dunia.mara naona Samia, mara ohh naona mwaka huu utapata gari na nyumba mara ohh naona CCM inaaanguka na Chadema inashika mara ooh naona bibi yako kakuroga

Ujinga mtupu ni wakati wa waumini kushtuka na kuhama hiyo mikanisa ya waona dunia na fahari zake na vilivyomo duniani

Tafuta ambalo unaabudu Mungu tu na kuondoka zako sio kusikiliza porojo za hao wanga wawinda pesa na mali za dunia kupitia kivuli cha unabii

Yesu alisema Mungu anatafuta watu wa kumuabudu sio kufuata nabii au chochote
Screenshot_20250721-130549~2.png
 
Nachukia sana mtu kujiita mtume.

Mungu anatafuta watu wa kumuabudu sio watafuata unabii kanisani achaneni na makanisa ya manabii tafuteni ya waabuduo tu

Kutwa kuongelea dunia na mambo ya dunia tu

Waumini hameni hiyo mikanisa ya kinabii nendeni kwenye makanisa ambako wwaabudu tu Mungu na kuondoka zako

Achaneni na hao wapuuzi manabii ambao kutwa kuongelea ya duniia tu na fahari zake wafuasi wa shetani hai Wanataka watu tu wasali waonyeshwe tu fahari za dunia na vitu vya dunia.mara naona Samia, mara ohh naona mwaka huu utapata gari na nyumba mara ohh naona CCM inaaanguka na Chadema inashika mara ooh naona bibi yako kakuroga

Ujinga mtupu ni wakati wa waumini kushtuka na kuhama hiyo mikanisa ya waona dunia na fahari zake na vilivyomo duniani

Tafuta ambalo unaabudu Mungu tu na kuondoka zako sio kusikiliza porojo za hao wanga wawinda pesa na mali za dunia kupitia kivuli cha unabii

Yesu alisema Mungu anatafuta watu wa kumuabudu sio kufuata nabii au chochote
Manyumbu tunaelewa basi baba, sisi makanisa ya manabii tunayapenda kawa kuwa huko ndiyo tunakofundishwa udaku, kupiga kelele na kunena kwa lugha ya mbinguni: apapapa rabo sitaki rabonife
 
Biblia kitabu cha Warumi 11:36 inasema
"Kwa maana vitu vyote vyatoka kwake na vipo kwa ajili yake na vyote vinadumu kwake. Utukufu ni wake milele. Amina."

Binadamu uliumbwa si kwa ajili yako ni kwa ajili yake yeye

Hivyo kumuabudu ni haki yake yeye aliyekuleta duniani
Huyo Mungu alishindwaje kuumba binadamu wote wamwabudu yeye tu, pasipo kutafuta unabii?

Huyo Mungu Alishindwaje kuzuia uwepo wa manabii feki duniani?
 
Katiba inatoa ruksa kupiga kura au kutokupiga ni hiari ya mtu.Pua inaruhusu Chama cha siasa kuwa na uhuru kushiriki uchaguzi au kutokushiriki

Mimi nitaenda kupiga kura na chama changu kitashiriki uchaguzi

Nyie ambao chama chenu hakitashiriki uchaguzi ni haki yenu kutoshiriki na sisi wengine tulio.tayari kushiriki ni haki yetu
Pia
 
Hawa wajiita manabii wamejazana mijini kuuza nabii zao

Makanisa yako mengi tu ambayo hujikita kwenye kuabudu tu kama Yesu alivyoagiza.kuwa .Wanatakiwa watu wa kuabudu Mungu kanisani si vinginevyo .Manabii wameharibu kanisa na kulifanya kuwa materialistic kuwa mtu anaenda kanisani kufuata vitu materials vya kidunia vya kimwili

Na manabii hawa wamejaa macho ya kuona vya dunia zaidi ni manabii wa dunia sio Mungu

roho waliyonayo sio ya Mungu ni ya dunia na mambo yake ya dunia zikiwemo siasa,maki,majumba ya fahari nk hawazalishi waabuduo katika roho na kweli
Quality ya kiroho na tabia za viongozi wenyewe hao manabii na waumini wao iko chini mno.Haviko kabisa kwenye standard za kanisa aliloamuru Kristo.Kuabudu hakupo wamejaa roho mtaka vitu sio Roho Mtakatifu
Unathibitisha vipi kanisa lako ni la kweli?

Au unataka kutetea kanisa lako tu na kuponda makanisa ya manabii?
 
Katiba inatoa ruksa kupiga kura au kutokupiga ni hiari ya mtu.Pua inaruhusu Chama cha siasa kuwa na uhuru kushiriki uchaguzi au kutokushiriki

Mimi nitaenda kupiga kura na chama changu kitashiriki uchaguzi

Nyie ambao chama chenu hakitashiriki uchaguzi ni haki yenu kutoshiriki na sisi wengine tulio.tayari kushiriki ni haki yetu
Pia
Screenshot_20250615-124601~2.png
 
Huyo Mungu alishindwaje kuumba binadamu wote wamwabudu yeye tu, pasipo kutafuta unabii?

Huyo Mungu Alishindwaje kuzuia uwepo wa manabii feki duniani?
Mungu hakuumba Robit aliumba watu na kuwapa utashi na akili za kuamua jema na baya Ndio maana huwezi jisaidia haja kubwa sebuleni akiki ibakutuma.uende chooni na pia uhuru wa kusema uabudu au la ni wako
Ukigoma utajijua
 
Unathibitisha vipi kanisa lako ni la kweli?

Au unataka kutetea kanisa lako tu na kuponda makanisa ya manabii?
Kanisa sio jina ni mfumo .wa ibada he umejikita kwenye kuabudu Mungu? Majina ya makanisa yako mabilioni.Cha kuangalia si jina tu

Ndio maana nikasema kwenye maada waumini waachane na makanisa ya kinabii yako maelfu yenye majina tofauti tafauti ila tabia yao moja yako fungu la makanisa ya kinabii
 
Mungu hakuumba Robit aliumba watu na kuwapa utashi na akili za kuamua jema na baya Ndio maana huwezi jisaidia haja kubwa sebuleni akiki ibakutuma.uende chooni na pia uhuru wa kusema uabudu au la ni wako
Ukigoma utajijua
Sasa kama huyo Mungu alitoa utashi, akili na uhuru wa kuamua jema na baya, Watu wakitumia akili, utashi na uhuru huohuo waliopewa kutomwabudu, wewe mbona unahangaika hapa kutaka watu wamwabudu huyo Mungu?

Huoni kwamba watu wanatumia uhuru huohuo waliopewa kutomwabudu?

Kwa nini unaingilia uhuru wa wengine waabudu wakati wana uhuru wa kutoabudu?
 
Kanisa sio jina ni mfumo .wa ibada he umejikita kwenye kuabudu Mungu? Majina ya makanisa yako mabilioni.Cha kuangalia si jina tu
Thibitisha kanisa lako ni la kweli na makanisa mengine si ya kweli.

Thibitisha mfumo wa kanisa lako ni ukweli.
Ndio maana nikasema kwenye maada waumini waachane na makanisa ya kinabii yako maelfu yenye majina tofauti tafauti ila tabia yao moja yako fungu la makanisa ya kinabii
Wewe ukiambiwa uachane na kanisa lako utakubali?

Kwa nini unaingilia uhuru wa watu wengine walioamua kwa hiari yao kusali kwenye makanisa ya manabii?

Wewe ukiambiwa uachane na kanisa lako unaloabudu utakubali?

Kama hutokubali, kwa nini unafosi watu wengine waachane na makanisa ya manabii?

Hujui kwamba kila mtu ana uhuru wa kuabudu chochote atakacho?

Hujui kwamba kila mtu ana uhuru na haki ya kuabudu chochote apendacho ili mradi tu, havunji sheria?
 
Back
Top Bottom