Achaneni na makanisa ya Kinabii

Achaneni na makanisa ya Kinabii

Thibitisha kanisa lako ni la kweli na makanisa mengine si ya kweli.

Thibitisha mfumo wa kanisa lako ni ukweli.

Wewe ukiambiwa uachane na kanisa lako utakubali?

Kwa nini unaingilia uhuru wa watu wengine walioamua kwa hiari yao kusali kwenye makanisa ya manabii?

Wewe ukiambiwa uachane na kanisa lako unaloabudu utakubali?

Kama hutokubali, kwa nini unafosi watu wengine waachane na makanisa ya manabii?

Hujui kwamba kila mtu ana uhuru wa kuabudu chochote atakacho?

Hujui kwamba kila mtu ana uhuru na haki ya kuabudu chochote apendacho ili mradi tu, havunji sheria?
Niko tayari kuhama kama likiacha kuwa la waumini kuabudu na kugeuka la kinabii nahama hata siagi mtu
 
Kama kila mtu ana uhuru wa kuabudu chochote atakacho na pia kila mtu ana uhuru wa kutoabudu, Kwa nini sasa unaingilia uhuru wa wengine kutaka waachane na makanisa ya kinabii waliyoamua kwa uhuru wao wenyewe kuyaabudu?
 
Ni upotofu kiimani kutojikita kuabudu Mungu na upotezaji pesa na mali zao
 
Kama huyo Mungu ametoa uhuru wa watu kuamua kufanya vyovyote watakavyo, Na Watu wameamua kutumia uhuru huohuo waliopewa kwenda kwa manabii, Wewe kinacho kuuma ni nini?

Kwa nini unaingilia uhuru wa watu wengine kuabudu manabii?

Huyo Mungu kama alikuwa hataki manabii, alishindwaje kuumba binadamu wema tu watakao mwabudu yeye tu, bila kwenda kwa manabii?
 
Mungu anatafuta watu wa kumuabudu sio watafuta unabii kanisani achaneni na makanisa ya manabii tafuteni ya waabuduo tu

Kutwa kuongelea dunia na mambo ya dunia tu

Waumini hameni hiyo mikanisa ya kinabii nendeni kwenye makanisa ambako waabudu tu Mungu na kuondoka zako

Achaneni na hao wapuuzi manabii ambao kutwa kuongelea ya duniia tu na fahari zake wafuasi wa shetani hao.

Wanataka watu tu waonyeshwe tu fahari za dunia na vitu vya dunia, mara naona Samia, mara ohh naona mwaka huu utapata gari na nyumba mara ohh naona CCM inaaanguka na Chadema inashika mara ooh naona bibi yako kakuroga

Ujinga mtupu ni wakati wa waumini kushtuka na kuhama hiyo mikanisa ya waona dunia na fahari zake na vilivyomo duniani

Watafute ambayo unaabudu Mungu tu na kuondoka zako sio kusikiliza porojo za hao wanga wawinda pesa na mali za dunia kupitia kivuli cha unabii

Yesu alisema Mungu anatafuta watu wa kumuabudu sio kufuata nabii au chochote
Tuanze na lile la mwamposa na mzee wa upako.
Katiba ya nchi pia ibadilishwe. Kile kipengele cha uhuru wa KUABUDU KIONDOLEWE KABISA YANI .
 
Mungu anatafuta watu wa kumuabudu sio watafuta unabii kanisani achaneni na makanisa ya manabii tafuteni ya waabuduo tu

Kutwa kuongelea dunia na mambo ya dunia tu

Waumini hameni hiyo mikanisa ya kinabii nendeni kwenye makanisa ambako waabudu tu Mungu na kuondoka zako

Achaneni na hao wapuuzi manabii ambao kutwa kuongelea ya duniia tu na fahari zake wafuasi wa shetani hao.

Wanataka watu tu waonyeshwe tu fahari za dunia na vitu vya dunia, mara naona Samia, mara ohh naona mwaka huu utapata gari na nyumba mara ohh naona CCM inaaanguka na Chadema inashika mara ooh naona bibi yako kakuroga

Ujinga mtupu ni wakati wa waumini kushtuka na kuhama hiyo mikanisa ya waona dunia na fahari zake na vilivyomo duniani

Watafute ambayo unaabudu Mungu tu na kuondoka zako sio kusikiliza porojo za hao wanga wawinda pesa na mali za dunia kupitia kivuli cha unabii

Yesu alisema Mungu anatafuta watu wa kumuabudu sio kufuata nabii au chochote
Umegusa MOYO wangu!!
 
Back
Top Bottom