Achana naye...

Joined
Aug 18, 2019
Posts
80
Reaction score
177
Achana naye.. Unalala, haupati usingizi juu ya mtu ambae huenda amelala na mtu mwingine muda huu kwa amani tele.
Achana naye.

Unaangalia simu yako sasa hivi ukisubiri text ya mtu ambae unamuona yuko online anachati na mtu mwingine kwa furaha zote.. Achana nae!

Unaweka status za huzuni WhatsApp kuonesha namna gani unavyoumizwa, wakati yeye yuko busy anamfikiria mtu mwingine, anampa furaha mtu mwingine, anamuweka status kuwa anampenda sana na wewe amekuficha usiweze kuiona status.
Achana nae.

Kweli unalia juu ya mtu ambae anamfurahisha mwingine?? Sio sawa bhana, hebu sikiliza, kama wewe siye ambae anakujali, basi hutakiwi kuwa na wasiwasi tena, wewe siye wake. Yuko mtu mwingine badala yako.

Ni ngumu, inauma sana na sio rahisi lakini kaza moyo, vaa moyo wa ujasiri, na hebu achana nae!! Ipo siku, utakuja kuwa na mtu atakaekusahaulisha magumu yote uliyopitia.
 
Niachane nae nimwachie nani sasa kwa mfano!
Sitaki niruke mtaro nikaanguke kwenye korongo mie
 
Kwa hiyo wa mrengo mmoja akianza kufanya mambo ya UKHANITHI kama anavyofanya yule mzee wa Chato utaendelea tu kumkumbatia na kumchombeza?
Mambo ya UKHANITHI ni maono ya mtu binafsi
Chato ni Tanzania
 
Katika vitu sitaki ni kupost chochote status kinyonge, yaani mtapatana na memes za 'a very happiest woman in the world'..! Nikimaliza hapo, I'm crying myself to sleep..!
 
Dawa yao n kupiga mashine mpaka mbunye iwake moto na mimba juu then unawacha kwenye mataa ya ubungo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…