Achana na Chopa Rais wangu ajaye.....

Achana na Chopa Rais wangu ajaye.....

Tanzania Njema Yaja

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
3,041
Reaction score
2,417
Nikiwa mwana mabadiliko nje ya ccm.. yaani mwana Ukawa halisi.. . roho imeniuma sana baada ya kusoma Kifo cha Mh. Filikunjombe Deo kwenye akaunti ya twitter ya Mh. Jerry Silaa, sababu ziko tele kwa nini nimeumia sana kwani kila mtu anazijua (mapambano ya haki kwa Watanzania) kifupi, wapenda mabadiliko nje ya CCM hawachukii chama (ccm) bali yatendwayo ndani ya CCM.

Tukiwa bado tuna majonzi ya wapambanaji wengi kama Mtoi, Makaidi, Mtikila na pia kina Selina, Kigoda. Mgombea ubunge wa ACT Arusha n.k, kwa kweli uchaguzi wa mwaka huu umeleta shida kubwa, wapo pia walio nusurika ajali wengi tu kama mh. Lembeli.

Zimebaki siku 8 kabla ya kampeni kufungwa, nakuomba sana Mh. Raisi ajaye wa UKAWA, mzee wa anga Mh. Mbowe msitumie chopa kwa kipindi hiki, tujaribu kupunguza risk iliyo mbele maana japo vifo vya walio wengi havijatokana na chopa ila chopa ni habari nyingine ikiwa na hitilafu au ikifanyiwa mambo. ( hope waconect dots mtanielewa)

Nawakilisha....
 
Mipango ya Mungu tu hiyo, kila mtu anaondoka kwa njia yake....
tumuombee heri tufike wote, na tufike salama katika safari ya mabadiliko
Wapumzike kwa Amani waliotangulia
 
Mh.Magufuli aliwahi kuanguka na chopa akapona..hataki kuzisikia kabisa.
 
kama siku yako haijafika huwezi kufa,cha msingi tuombe mungu atuepushie mbali maafa mengine kama haya yaliotokea,nawatakia wote pumziko la milele,amina
Nikiwa mwana manadiliko nje ya ccm.. yaani mwana Ukawa halisi.. . roho imeniuma sana baada ya kusoma Kifo cha Mh. Filikunjombe Deo kwenye akaunti ya tweeter ya Mh. Jerry Silaa.... sababu ziko tele kwa nini nimeumia sana kwani kila mtu anazijua (mapambano ya haki kwa watz)... kifupi, wapenda mabadiliko nje ya ccm hawachukii chama (ccm) bali yatendwayo ndani ya ccm.

Tukiwa bado tuna majonzi ya wapambanaji wengi kama Mtoi, Makaidi, Mtikila na pia kina Selina, Kigoda... Mgombea ubunge wa ACT Arusha n.k.... kwa kweli uchaguzi wa mwaka huu umeleta shida kubwa...... wapo pia walio nusurika ajali wengi tu kama mh. Lembeli...

Zimebaki siku 8 kabla ya kampaini kufungwa, nakuomba sana Mh. Raisi ajaye wa Ukawa, mzee wa anga Mh. Mbowe msitumie chopa kwa kipindi hiki..... tujaribu kupunguza risk iliyo mbele maana japo vifo vya walio wengi havijatokana na chopa ila chopa ni habari nyingine ikiwa na hitilafu au ikifanyiwa mambo..... ( hope wenye akili mtanielewa)

Nawakilisha....
 
Kuna waziri mkoja very powerful kenya nae alikufa kwa chopa alitegemewa kugombea uraisi...
 
Kwa yeyote anaeamini mungu kila binaadamu hufa siku yake ikifika. Hayo unayoshauri ni mawazo magando au huna unachoamini labda.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Kwa yeyote anaeamini mungu kila binaadamu hufa siku yake ikifika. Hayo unayoshauri ni mawazo magando au huna unachoamini labda.

Sawa mkuu kama unaamini vifo vya watu wote vinatokana na Mungu.... kama vya maalbino, kifo cha Gaddafi, Kifo cha Mwangosi.... nadhani wewe ndo mwenye mawazo mgando mkuu...
 
Hapa ni kuomba tu. Maana hata kwa watembea mguu kama israel mtoa roho yuko getini unaondoka tu. We have to pray.
 
Back
Top Bottom