DidYouKnow
JF-Expert Member
- Jul 28, 2019
- 1,229
- 1,952
Adobe inafanya vizuri zaidi. Ubora ni mkubwaOffice Lens
Office lens moto wa kuotea mbaliJaribu Office Lens
Inatumia internet ila iko na unyama sana adobeNimeipakua ila naona iko slow, mnyama CamScanner dakika sifuri unamaliza kila kitu
Kweli Adobe iko slow sana. Document ya page 10 utakesha kuziscan.Adobe inafanya vizuri zaidi. Ubora ni mkubwa
Nimetmia kigezo cha scanning katika mwanga hafifu, Adobe ametoa picha bora zaidi, akifuatiwa na camsanner, office lens imeshindwa.
Pia kwa kigezo cha precision, bado adobe iko makini zaidi, hatakama karatasi iko kwa mbali inakuwa detected vyema.
Tatizo adobe iko slow katika processing ya image
Itakuwa simu yako tuKweli Adobe iko slow sana. Document ya page 10 utakesha kuziscan.
Acha niendelee na CamScanner
Bi up! Tangu nimeijua hii App. sijawahi juta. Iko vizuri mno. Ipo fast na very clear. No watermark. Una sacan bila hata internet. Ambao hamanayo ijaribuni, hamtajutia kuwa nayo.Clear scanner...Naikubali sana hii.

Mwl. RCT umeshaijaribu ClearScanner? Kwangu mimi naona ni nzuri sana.Adobe inafanya vizuri zaidi. Ubora ni mkubwa