Achana na Blackberry kuna hii simu mpya ni balaa 2026

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,221
Reaction score
2,425
1_20260104_120850_0000.png

Tunaweza sema Blackberry imerudi tena Kwa mwaka 2026 ๐Ÿซฃ lakini Kwa namna nyingine unajua kwanini??

Kampuni kubwa ya kutengeneza simu zenye muundo wa batani Kwa ajili ya smartphone kama ilivyo Blackberry inaitwa Click Technology imezindua simu mpya inaitwa Communicator ๐Ÿ‘€.

SaveClip.App_610576864_18559292812063720_2126421937531605491_n.jpg

๐Ÿ”บ Simu hii inatumia mfumo kamili wa Android 16.
4_20260104_115940_0003.png

๐Ÿ“ฒ Ikiwa na Kioo aina ya AMOLED display ambayo ni tachiskrini.
โŒจ๏ธ Simu hii Inakuja ikiwa na physical batani za kubonyeza kama ilivyo Blackberry.

15_20260104_121228_0000.png
SaveClip.App_610875298_18559292857063720_4327738517573670748_n.jpg

๐Ÿซ† Ikiwa na fingerprint sensor Kwa pembeni.

6_20260104_115940_0005.png
7_20260104_115940_0006.png

๐ŸŽง Inakuja ikiwa na sehemu ya kuchomeka mfumo wa Headphones jacks (headphones za waya).
๐Ÿ”‹ Battery lake ni 4000mah inaweza kukaa siku mbili bila kuchaji Kabisa.

Credit to: #bongotech255

Simu hii inatumia mfumo kamili Kabisa wa Android, Kwa sasa inapatikana kwa dola $399 mpaka kufikia dola $499. Simu hii itaweza kuachiwa mwaka huu 2026โœ๏ธ.
 
Attachments

  • 3_20260104_115940_0002.png
    3_20260104_115940_0002.png
    415.9 KB · Views: 16
View attachment 3525051
Tunaweza sema Blackberry imerudi tena Kwa mwaka 2026 ๐Ÿซฃ lakini Kwa namna nyingine unajua kwanini??

Kampuni kubwa ya kutengeneza simu zenye muundo wa batani Kwa ajili ya smartphone kama ilivyo Blackberry inaitwa Click Technology imezindua simu mpya inaitwa Communicator ๐Ÿ‘€.

View attachment 3525052

๐Ÿ”บ Simu hii inatumia mfumo kamili wa Android 16.
View attachment 3525054

๐Ÿ“ฒ Ikiwa na Kioo aina ya AMOLED display ambayo ni tachiskrini.
โŒจ๏ธ Simu hii Inakuja ikiwa na physical batani za kubonyeza kama ilivyo Blackberry.

View attachment 3525055View attachment 3525056

๐Ÿซ† Ikiwa na fingerprint sensor Kwa pembeni.

View attachment 3525058View attachment 3525059

๐ŸŽง Inakuja ikiwa na sehemu ya kuchomeka mfumo wa Headphones jacks (headphones za waya).
๐Ÿ”‹ Battery lake ni 4000mah inaweza kukaa siku mbili bila kuchaji Kabisa.

Credit to: #bongotech255

Simu hii inatumia mfumo kamili Kabisa wa Android, Kwa sasa inapatikana kwa dola $399 mpaka kufikia dola $499. Simu hii itaweza kuachiwa mwaka huu 2026โœ๏ธ.
Simu nzuri sana imekaa kibabe...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom