bujaganoni
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 561
- 453
😂😂😂😂😂😂😂🏃Wa 36 lazima anyenyekee, giza limeingia
Anaweza akamuoa huyo kumbe kabugi step..yaani huyu jamaa hana mapenzi ye anataka tu mke akamtimizie mahitaji yake ndo maana hajui aoe yupi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125]
Mwambie mwana aoe huyo wa 36 sio mbaya Sana. Kuliko kichefuchefu cha chuo.Hello Guys
Kama kawaida yangu huwa sina stori za mitaani, nina simulizi ambazo ni true stories!
Kuna mwana ana mchumba wake, nadhani mwaka wa tatu sasa, huyo demu wake ndio kwanza kamaliza chuo ana 23 yrs saivi, mwana ana 33. Kulingana na chamgamoto za kimapenzi na maisha alichelewa kuoa.
Sasa mwana anasema kapata demu (mchepuko) kazini kwake, na wana kama miezi mitatu hivi maana alitokea kupishana na huyo mchumba wake mwana ikabidi atafute sehemu ya kujiliwaza. Huyu demu ana 36 yrs saiv, na according to mwana anasema huyo dada yupo tayar kuanza maisha na mwana, na hata akimwangalia tu ana interest kweli za kuolewa.
Sasa jamaa amekuwa kwenye sintofahamu kali, yupi amchague, anafikira huyu wa 36 tayar anajua maisha hata namna ya kuishi na mwanaume, na amekuwa akidekezwa sana anapokuwa kwa huyu mwanamke, ila huyu wa 23 (ambaye ni mchumba japo si rasmi) mwana anasema anatumia muda mwingi sana kusolve ugomvi badala ya maisha. Anasema yupo dilema!
Kwako mwana jamiiforum, u amshauri nin kijana mwenzetu?
36 years sio nzuri kwa Afyaa... Kama hawezi kusettle mambo na huyo mdogo bhasi AWAACHE WOTE ATAFUTE MPYA!
Ausikilize moyo wake.
36 [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848] aaache wenge jamaaa aiseeee maji yashamwagika huyo teyar anatafuta kuondoa nuksi tu unaacha mtoto mbichi kabisa 23 yaan hata nyonga haijakomaa unaenda kuchukua mtu teyar mitindo ya mjini keshafunga kitabu ana funguo ledger nyingneHello Guys
Kama kawaida yangu huwa sina stori za mitaani, nina simulizi ambazo ni true stories!
Kuna mwana ana mchumba wake, nadhani mwaka wa tatu sasa, huyo demu wake ndio kwanza kamaliza chuo ana 23 yrs saivi, mwana ana 33. Kulingana na chamgamoto za kimapenzi na maisha alichelewa kuoa.
Sasa mwana anasema kapata demu (mchepuko) kazini kwake, na wana kama miezi mitatu hivi maana alitokea kupishana na huyo mchumba wake mwana ikabidi atafute sehemu ya kujiliwaza. Huyu demu ana 36 yrs saiv, na according to mwana anasema huyo dada yupo tayar kuanza maisha na mwana, na hata akimwangalia tu ana interest kweli za kuolewa.
Sasa jamaa amekuwa kwenye sintofahamu kali, yupi amchague, anafikira huyu wa 36 tayar anajua maisha hata namna ya kuishi na mwanaume, na amekuwa akidekezwa sana anapokuwa kwa huyu mwanamke, ila huyu wa 23 (ambaye ni mchumba japo si rasmi) mwana anasema anatumia muda mwingi sana kusolve ugomvi badala ya maisha. Anasema yupo dilema!
Kwako mwana jamiiforum, u amshauri nin kijana mwenzetu?
Hahahahaj dah umenifurahisha sana.36 [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848] aaache wenge jamaaa aiseeee maji yashamwagika huyo teyar anatafuta kuondoa nuksi tu unaacha mtoto mbichi kabisa 23 yaan hata nyonga haijakomaa unaenda kuchukua mtu teyar mitindo ya mjini keshafunga kitabu ana funguo ledger nyingne
Awe makini na huyo wa 36. Unaweza kukuta ni mke wa mtu. Wakati fulani niliwahi kupata changamoto kama hiyo.Hahahahaj dah umenifurahisha sana.
Labda jamaa anadekezwa hadi anajisahau kama kuna shida mjini, maana amekuwa akimalizia weekend nyumbani kwa huyu dada, anafuliwa, anaogeshwa, anapikiwa... full raha. Wakati huku inabidi ka binti ndio akafanyie yeye, akatoe out, na vitu kama hizo!
Mapenzi mabaya mzee mwenzangu!
Huo mwanzo tu Ngoja ataanza kumtreat kama amemzaaa..[emoji23][emoji23][emoji23] Yani gap hiyo ya miaka ni hatariii atamburuza sana jamaa sanaaa...yani sanaaa ngoja tu huu mwanzoHahaha baharia mwenzangu unataka kumrudisha nyuma jamaa, sema anachofikiria yeye, ni huyu tayar ana kazi, mwingine anamtegemea yeye apate kazi! Na huyu anayemtegemea ndio anampenda zaidi!
Wanawake wajanja Sana aisee hasa wanapo tafuta ndoa ila alishajua umri umeenda teyar lazima amdekeze mwana aingie kingi na jamaaa keshazama teyar muda utaongea tuHahahahaj dah umenifurahisha sana.