Acha wenye pesa watoe pesa!

Acha wenye pesa watoe pesa!

Huyu pesa kwa hesabu za fasta hana, na kichwani sioni dalili za kutimia.

Tumpe 1 out of 3 kwa huruma sababu ametumia nguvu nyingi kutuaminisha ni fundi kitandani.

Huyo huyo mmoja awe na package hizo zotee? tafadhari dada G
 
Huyu pesa kwa hesabu za fasta hana, na kichwani sioni dalili za kutimia.

Tumpe 1 out of 3 kwa huruma sababu ametumia nguvu nyingi kutuaminisha ni fundi kitandani.
😳😳😳 wanawake mnafanyaga tuwaze saaana
 
Mwanaume lazima agegede vizuri, awe ana pesa, na kichwani ziwe zimemtimia.

Sasa mkuu wewe umebarikiwa kimoja kati ya 3 inakuwaje hapo?
Ana kasoro hiv utamgegeda tu haraf mahitaj yake ya msingi na ya lazima apewe na mwingine bas ndio maana umakimbukwa akina na genye tu
 
Huyu pesa kwa hesabu za fasta hana, na kichwani sioni dalili za kutimia.

Tumpe 1 out of 3 kwa huruma sababu ametumia nguvu nyingi kutuaminisha ni fundi kitandani.
Anahonga tu aache kutudanganya hapa
 
Aisee baadhi yetu sisi wanawake hatuna maana.

Utakuwa fully charged upstairs, downstairs na in your pockets and still not be enough for us.

So twendeni tuuuu. Tutafika.😅

Mtajua wenyewe sasa, kikubwa kwetu nyegez tutafika wote tuu
 
Back
Top Bottom