DSN
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 2,837
- 1,686
Ukiwa Mpenda Haki Daima Ufisadi, Dhuruma, Ushirikina, Wizi, Utaperi, Uongo, Uzinzi, Unafiki vitakuwa si sehemu ya mawazo yako bali Ukweli, Uadilifu na hofu ya Mungu na kutenda mema kwa wenzio na Taifa lako itakuwa ni sehemu ya maisha yako...Nitasema kweli Daima fitina kwangu mwiko...Nashiriki siasa kwa kuwa ni haki yangu...
Muda ukifika itabidi tena Serikali ianze kuwasaidia kuweka uliznai kwa walio kuwa wakionekana kuwa ndio wakombozi... stay tuned kwa wasio jifunza kwa kusikia bali wanajifunza kwa kuona....ukiona picha nayo ukishindwa kusoma usilaumu UPOFU WAKO...
Nimevutika na wimbo huuu.....chini toka kwa Betlehem

Acha waisome namba eeh! ccm mbele kwa mbeleeee! waache waandamane eeeh! CCM mbele kwa mbeleeee!Uhuni wa kisiasa sasa umefika mwisho, ama kweli haki haichangamani na batili na kwa kawaida haki ikisimama batili hujitenga! Sasa ni kazi tu!
cc. MwanaDiwani The Boss Pasco Mkandara Nguruvi3 Mchambuzi JokaKuu Kiranga Lizaboni ZeMarcopolo na ndugu yangu chama ambaye tumepoteana kwa muda.