Acha uvivu,hebu mwangalie huyu.

Acha uvivu,hebu mwangalie huyu.

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,034
uploadfromtaptalk1358163733059.jpg
Wewe umekamilika viungo vyote kazi hutaki kufanya!
 
Kwa Bongo yeye angekalia hilo toroli halafu mtu aliyekamili angemkokota kumjuza bar zote za mjini.
 
kazini.jpg
Huyu mtoto akifikia ukubwani si atakua mpishi mzuri.

kazini2.jpg
na huyu jamaa unazani akienda kwenye mashindano ya baiskeli itakuaje???
 
Huy Mmasai nilipomwona LIVE maeneo ya Sinza Kijiweni na baadae kidogo nikamkuta Ubungo....ni NUOMA kama utamuona live MANI njoo ucheki mambo huku
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom