Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
*Mzee wa watu alichora nembo ya Taifa tumekuja kujua kipindi hiki tangu ujana wake hatumjui tena tumemjua baada ya kuumwa sana mpaka umauti ulipo mfikia*
*Wewe umechora Tattoo tu unatukalia kifua na kiuno wazi ili kila mtu ajue una Tattoo acha undezi*
♂♂
*Wewe umechora Tattoo tu unatukalia kifua na kiuno wazi ili kila mtu ajue una Tattoo acha undezi*
♂♂