Inakera Sana unakuta mtu anakuja na uzi the wa kuuliza feedback juu ya nafasi fulani ambazo zilitangazwa siku za nyuma na yeye aliomba, wakati zilipotoka hakushare humu. Anaomba kimya kimya (kichoyo) alafu tetesi anataka apate humu kwa watu ambao aliwaficha zilipotangazwa.