Acha niwafunde kidogo Wanawake (Kitchen party)

Acha niwafunde kidogo Wanawake (Kitchen party)

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,758
Reaction score
9,589
Habari zenu marafiki zangu


Leo mabest zangu nimekuja na somo hili KUWAFUNDA
hususani WANAWAKE WOTE haijalishi una miaka 18 -50
au wewe ni mzee,pokea ili somo ambalo najua atakayeitii
atafaidika na kutoka na kitu hapa.

images.jpg

Marafiki zangu hasa Wanawake wa mjengoni humu acha
leo nitoe somo au mwongozo wa jinsi ya kuishi na jamii au
familia yako hapo home kwako, Kuna WANAWAKE wengine jamani
sio wastaarabu kabisa tena wanashangaza sana kwa mkao wao.

Wewe mwanamke umeamka asubuhi badala ya kuanza usafi
wa nyumba unakwenda mtaa wa saba kupiga umbea hiyo ni
asubuhi. Je ikifika mchana itakuwaje? si inashangaza jamani!

clean flesh.jpg

tena inaaibisha kabisa kwenye familia yako hasa mumeo!
Sasa itokee mgeni anakujia asubuhi hiyo na wewe hauko kwako
itakuwaje? ile kujongea tu anaona mainzi, mlundikano wa uchafu
wa jana uko juu mezani, yaani ni aibu tena fedheha kwa familia
yako, huoni kuwa unasababisha magonjwa kwenye familia yako?
unafikiri kipindupindua kinatokeaje?

rubish.jpg

Sasa kuna wengine ni WAVIVU hasirani/ WACHAFU yaani hata yeye
mwenyewe ajijali, nguo anavaa wiki nzima mikojo, maziwa ya mtoto
yaliyoangukia humo,yani full uchafu na kunuka hovyo, SASA
unafikiri mwenzio akirudi home apate wapi kumbatio wakati wewe
mwenyewe ujijali unanuka, unafikiri kuna mapenzi hapo. lazima
atatoka tu nje ya ndoa kwani hata akikwambia ubadilike usikiii
masikio umetia pamba yaani unaona ni kawaida tu na uko vizuri.
Mwenzenu nimeona niwape kidogo mwongozo huu leo.

Samahani kwa yule atakayejisikia vibaya, atakayekwazika.
ila message send


Jamani WANAWAKE tubadilike tuwe wasafi kwenye familia zetu
kwani afya bora upatikana kwenye usafi wako wewe mwenyewe na
familia yako kwa ujumla, bila wewe mwanamke kuchukua hatua ya
ziada kwenye usafi basi utabomoa familia na ndoa yako kwa ujumla.
MWANAMKE NI KIOO CHA FAMILIA NA NI PAMBO LA MUMEWE. HIVYO
JIPENDE, KUWA MSAFI, JIHESHIMU NA STAHI FAMILIA YAKO KWA USAFI

NAWATAKIA MAFIKINIKIO KATIKA SHUGHULI ZENU. NAWAPENDA

Special cc kwa madada:

Copy: Mamndenyi, Zion Daughter, Heaven on earth, Passion Lady, @fp, sweetlady, FirstLady, Lady doctor, Lady Unbreakable, Preta, marejesho Mwali, Smile, amu, cacico, gfsonwin, snowhite, Kaunga, Nivea Madame B, madame A, madame x, The secretary, Paloma na wengine
niliowasahau majina yao wasijisikie vibaya watwange hapo.

Kwa upendeleo kidogo:

Copy: Arushaone, Filipo, Ruttashobolwa, Mtambuzi, Bishanga, kabanga, Erickb52, Mr Rocky, Elli, stevoh, Jiwe Linaloishi, Kipaji Halisi, watu8, Bujibuji, Nicas Mtei, Mentor, Mwita Maranya, @Mgeda, Asprin, figganigga mathematics, The hammer, nitonye, Dio, @Blocy City, Donn na wengineo
wengi wa marafiki zangu jongeeni hapa. Nanyi semeni ya moyoni mwenu.
 
Last edited by a moderator:
Apataye mke apata kitu chema, naye ajipatia kibali kwa Bwana... (Mit 19:22).
Unywe maji ya birika lako mwenyewe, na maji yenye kububujika katika kisima chako...(Mit 5:15)


Amen!
 
umeshaanza uchokozi wako wewe nitakusemea kwa marejesho mie haya
Apataye mke apata kitu chema, naye ajipatia kibali kwa Bwana... (Mit 19:22).
Unywe maji ya birika lako mwenyewe, na maji yenye kububujika katika kisima chako...(Mit 5:15)


Amen!
 
Last edited by a moderator:
Times the time before time times you!
Apataye mke apata kitu chema, naye ajipatia kibali kwa Bwana... (Mit 19:22).
Unywe maji ya birika lako mwenyewe, na maji yenye kububujika katika kisima chako...(Mit 5:15)


Amen!
 
Mwanamke aliyeajiriwa anafaa sana na mwanamke wa home naye anafaa sana haijalishi shughuli ndiyo inayomkeep busy la hasha wengi wao ni uchafu na uvivu tu ndo unaowafanya wawe wachafu
Hapo kuna tatizo,Kuoa mwanamke anayefanya kazi ya kuajiriwa pia ni kama hujaoa
 
kitchen zina shule kumbe...nmepiga chabo kidogo
 
Aksante sana Bi dada ila nahisi ukumbe huu ni kwa wale wadada wa uswazi zaidi, wale ambao bado kupiga umbeya ni mpaka ufunge safari. Tupo wale wengine wa kwa kuwa tunawahi maofisini basi ni excuse ya kutoandika na kufanya usafi vyumbani mwetu mwe!!
 
Hapo kuna tatizo,Kuoa mwanamke anayefanya kazi ya kuajiriwa pia ni kama hujaoa
BONGOLALA, kuajiriwa isiwe sababu, mwanamke anayejijua uanamke wake hakuna cha kuajiriwa wala kujiajiri. Siku zote huwa wa kwanza kuamka na kufanya yale yanayostahili kufanywa kabla hajenda shule. Ni haya ma theories ya usawa tu ndio yanawaaharibu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom