RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 59,868
- 137,178
Yaani unajihisi mwenye bahati kuliko wanawake wote duniani, mie huwa nakitumia ipasavyo aisee.
duh....?!!
Yaani unajihisi mwenye bahati kuliko wanawake wote duniani, mie huwa nakitumia ipasavyo aisee.
duh....?!!
Hahahaaa!! Unashangaa nini bwana shemeji? Hicho ndicho kipindi cha kufaidi ujue!
msichojua players kipindi hicho tunawaacha mleee wee ila ukiliwa tu game inachange!
Presidaa alisema "Lazima uliwe sana ili ule" Pia "Ukitaka kula lazima uliwe" na migeuzo yake.Si nasie tunakuwa tumekula!!
Presidaa alisema "Lazima uliwe sana ili ule" Pia "Ukitaka kula lazima uliwe" na migeuzo yake.
Si nasie tunakuwa tumekula!!