Heri lee JF-Expert Member Joined Aug 16, 2013 Posts 981 Reaction score 538 Apr 19, 2014 #1 Hvi wadau holographic phones ndo cmu za aina gani
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,280 Reaction score 44,417 Apr 19, 2014 #2 ukisema holographic unamaanisha njia ya kutengeneza 3d. ila mara nyingi wakiitumia kwenye simu ni zile projector zao za uongo na kweli zinazohamisha display ya simu kwenye kioo kama concept nyingi za iphone.
ukisema holographic unamaanisha njia ya kutengeneza 3d. ila mara nyingi wakiitumia kwenye simu ni zile projector zao za uongo na kweli zinazohamisha display ya simu kwenye kioo kama concept nyingi za iphone.
Heri lee JF-Expert Member Joined Aug 16, 2013 Posts 981 Reaction score 538 Apr 19, 2014 Thread starter #3 So hizo simu zina piga picha na kuonyesha pande zote co
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,280 Reaction score 44,417 Apr 19, 2014 #4 Heri lee said: So hizo simu zina piga picha na kuonyesha pande zote co Click to expand... yap kama hivyo lakini sijawahi kuona real product, naona tu concept za watu.
Heri lee said: So hizo simu zina piga picha na kuonyesha pande zote co Click to expand... yap kama hivyo lakini sijawahi kuona real product, naona tu concept za watu.
ndetichia Platinum Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,590 Apr 19, 2014 #5 mmmmmmhhhh kazi ipo think sana Google hata huku sijaziona kabisa... uvivu noma sana..