gwahe
Senior Member
- Nov 24, 2014
- 147
- 84
Wana MMU,Mada nyingi sana humu javini zimekuwa hazina majibu tunaona Wanawake wengi wanalalamikia Mapenzi ya usaliti na Wanaume vilevile wakitupia lawama zao.
Wengine wanasema hakuna Mapenzi ya kweli siku hizi. Binafsi naamini kuna mapenzi ya kweli kama enzi za Wazazi wetu kama wengi wanavyosema na kuamini kuwa Mapenzi ya kweli yalikuwepo enzi zile za Mababu na Mabibi.
Babu na Bibi zetu walisubiri,walikuwa na malengo ya dhati na maadili mema na walifuata misingi ya kupendana kwa malengo chanya na Wasichana wengi walijitunza. Lakini enzi za leo,Wapenzi wanafuata malengo binafsi, wanatumia mfumo wa Condoms kama chanzo cha Mapenzi na n.k.
Hebu tuangalie matumizi ya condoms kama kweli ni Safe Sex and Commitment and relationship. Hivi wewe?
a)Wewe una mMenzi.? Je mmepima hivi (Ndiyo) na wote ni Negative (Ndiyo). Je mnatumia Condoms (Hapana) Je nyie ni wachumba au wanandoa(Ndiyo). Kama ni kweli. Hii inamaana mpo kwenye safe Sex and Committed Relationship.
b) Wewe una mpenzi.? Je mumepima HIV (Hapana). Je mnatumia Condoms? (Ndiyo) Je nyie ni wachumba au wanandoa?(Hapana). Kama ni Kweli. Hii ina maana mpo kwenye safe Sex and not Committed relationship Mnapotezeana muda.
c) Wewe una mpenzi.? Je mumepima HIV?(Hapana) Na wote ni Negative au Positive (Hatujui). Je mnatumia Condoms?(Hapana) Je nyie ni wachumba au wanandoa(Hapana). Hii inamaana mpo kwenye Un safe Sex and not Comitted Relationship
Kama wewe upo kundi B na C na halafu unalalamikia Mapenzi Magumu, wakati huo huo upo kwenye unsafe and not committed Relationship? Na unaamini Condoms ndiyo njia ya mapenzi ya kweli? Majibu tunayo
Chukua hatua usilalamike.