Acha kukurupuka kuoa Dogo langu

Acha kukurupuka kuoa Dogo langu

Saad30

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2020
Posts
3,128
Reaction score
6,121
Habari madogo mnaotaka kuoa.

Ikiwa wewe kijana bado unajitafuta na Maisha kamwe usifikirie swala la kuoa kabisa.

Hakikisha upo Sawa kiuchumi angalau yaani swala la pesa ya kila siku na mahitaji muhimu hayakusumbui.

Shirikisha wazee wa karibu binti unayetaka kumuoa yaani wazee sio ndugu zako au baba zako wazee hawa ni majirani katika huo mtaa.

Binti ambaye amelelewa na single Maza acha kukurupuka kumuoa kabisa yaani kama baba wa mtoto yupo Hai na haishi na mama wa binti unayetaka kumuoa chunguza saana.

Ikiwa baba WA binti amekufa akiwa ndani ya ndoa na mama wa mtoto basi hii haileti shida saana maana haipo kwenye laana.

Acha kukurupuka kuoa Dogo langu kama huna hela.

Ukizipata hizo Hela Za angalau basi karata yako ya Kwanza iwe Kwa BINTI BIKRA.

Dogo langu kumbuka ndoa hujenga Maisha yako na pia ndoa inaweza kaharibu Maisha yako.
 
Mshauri anayeshauri kijana asioe sifa zake hizi hapa 1.ameoa single maza kutoka kwa single maza aliyeachika kwa mumewe 2. Hajaoa bikra 3. Hana pesa na anaishi nyumba ya kupanga. Utamshaurije kwa mtindo huu? Au kwa vile umepigwa za uso huko umeamua uwasanue vijana?
 
Kwenye swala la ndoa Bikra ndo best option , Zaid ya hapo Mzee oa tuu kujenga familia na ukiandae kisaikolojia !! Mwanamke ambaye hujamkuta Bikra technically na tactically huyo ni cha wote , biologically yupo confused na hawezi kuresist !! Na usije ukamwamini hata sekunde , pambana tuu kiume
 
Hawa ni matapeli tu mkuu. Mtu anaomba hela unafikiri kazaliwa nazo. Kila siku matumizi haipungui 50k. Fvck her.
Akikuomba Hela hiyo ujue unauwezo nayo kaka
 
Mshauri anayeshauri kijana asioe sifa zake hizi hapa 1.ameoa single maza kutoka kwa single maza aliyeachika kwa mumewe 2. Hajaoa bikra 3. Hana pesa na anaishi nyumba ya kupanga. Utamshaurije kwa mtindo huu? Au kwa vile umepigwa za uso huko umeamua uwasanue vijana?
Za uso
 
Back
Top Bottom