Acha kuingiza Malaya ulipopanga

Acha kuingiza Malaya ulipopanga

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,197
Reaction score
14,890
Habari zenu Wakuu,

Nimekuwa naona vijana wenzangu wakiingiza mademu/Malaya kila uchwao kwenye mageto yao bila ya kujali watu waliowazunguka. Kiukweli ni image mbaya wanajijengea kwa jamii maana maneno yanasambazwa na kufikia hatua ya kuonyeshewa Vidole.

Kuingiza Demu sio kosa Wakuu, ila kuingiza mademu na kuwalala kwenye kitanda chako sio jambo zuri kijamii na kiakili. Unakuta kijana anaishi peke yake ila kila wikiendi anaingiza malaya ndani, na cha ajabu ni kwamba hafikirii wala kujali taswira yake kwenye jamii.

Nb. Maneno ya watu yana sambaa na yana nguvu sana, jizuie kuingia Malaya ndani ujenge taswira nzuri kwa jamii.

UZI TAYARI
 
AU SIO
 
Kabisa Mkuu, unakuta mtu amezungukwa na wapangaji wenye familia zao lakini bado anaingia wanawake kilasiku.

NI TABIA MBAYA SANA.
Kuna mifano mizuri na mifano mibaya kwenye jamii na yote ipo ili waja wajifunze,ni mtu kuamua ni aina gani ya mfano kwenye jamii anataka kuwa..NB:Mifano yote ni muhimu kwa ustawi wa jamii kwa hiyo acha waishi walivyochagua na wewe ishi ulivyochagua
 
Nenda Guest Mkuu, ni bora utoe 10,000 ya chumba Lodge kuliko kujiharibia kwa watu kuingiza mademu ndani.
Wapo wa kupeleka guest ukiachilia mbali wale wa kwenye Arena Ila Kuna Hawa wengine hawataki kwenda guest inabidi niwale humu humu
Ila samahani jirani kama nimekuudhi nitajitahidi kupunguza idadi ya nyumbu
 
Kuna mifano mizuri na mifano mibaya kwenye jamii na yote ipo ili waja wajifunze,ni mtu kuamua ni aina gani ya mfano kwenye jamii anataka kuwa..NB:Mifano yote ni muhimu kwa ustawi wa jamii kwa hiyo acha waishi walivyochagua na wewe ishi ulivyochagua
Upo sahihi, ila huu ni Ushari tu.
 
Mbona huna sababu za msingi mkuu,
Kwa mimi naon waendelee tuu kam sababu n hzo

Ila kam kuna zngne za msing lete

Kama unaleta madem na ni watu wazima wanakunyooshea vdole au wanakupmia heshima sio karne hii

Mimi nitafanya hvyo cha msingi watoto wadogo wasijue linaendelea.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom