Acha DOGO Akasome, BONGO LAANA TUPU

Anasoma Kigamboni,hapo imebidi adandie hiyo DCM ya Gongo la Mboto/Kivukoni angalau awahi nyumbani!
 
anasevu mia akagonge chips dume...........
 
hata asipohatarisha tayari maisha yake yameshazungukwa na hatari toka alipozaliwa tanzania.
.

Ni kweli mkuu kuzaliwa Tanzania ni hatari tupu hasa pale unapozaliwa katika mazingira ya umaskini.....Tunaishi kwa neema
 
sure wanapata shida sana hawa watoto sio siri serikali inatakiwa waliangalie hili kwa jicho la tatu vinginevyo elimu itazidi kudolola hapa nchini.
 
Imenihuzunisha sana, angeweza kutoroka au kuamua kutokwenda shule. huyu atakuwa mwenye mafanikio sana baadae
 
Anasoma Kigamboni,hapo imebidi adandie hiyo DCM ya Gongo la Mboto/Kivukoni angalau awahi nyumbani!

Huyu atakuwa ni ka-Mura kadogo kamezoea zile baiskeli zao zenye viti virefu kutokea Kitunda..!:becky:
 
Ukizaliwa Bongo asilimia 60 ya maisha yako hatarini

Mkuu na wanaozaliwa Somalia au Afghanstan watasemaje?, jaribu kushukuru Mungu kwa kuzaliwa mtanzania ambaye akisikia mlio wa bunduki anakimbilia kwenda kushangaa wakati mwenzie wa somalia anatafuta pa kujificha kuokoa maisha yake, kama ni matatizo ya kiuchumi au kisiasa yapo nchi zote duniani.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…