Hansy wa East JF-Expert Member Joined Jul 8, 2012 Posts 446 Reaction score 232 Nov 23, 2012 #1 Wadau naombeni msaada wa kiufundi jamaa kaangusha pc yake aina nimeweka hapo juu imekata display inaonesha mistari tu baaada ya kuiangusha. sasa inaweza kutengenezwa au mpaka display ibadilishwe?
Wadau naombeni msaada wa kiufundi jamaa kaangusha pc yake aina nimeweka hapo juu imekata display inaonesha mistari tu baaada ya kuiangusha. sasa inaweza kutengenezwa au mpaka display ibadilishwe?
Isaac Chikoma JF-Expert Member Joined Oct 25, 2011 Posts 475 Reaction score 101 Nov 23, 2012 #2 hapo badili tu display mkuu.
M malyogos New Member Joined Dec 16, 2009 Posts 2 Reaction score 0 Nov 24, 2012 #3 Badilisha tu Display kaka, hapo hakuna kitu tena