Accountant

Guys I am sorry
1.thinking hii ni globu ya wanajamii,I took it for granted. Anyway ni Tanzanias shillings zote
2.Kinyamana/BelindaJacob-duuuh mnanimaliza,mnisamehe but that is what I can afford for now for a PART TIMER.Jamani kwa kuwa mimi nina njaa na mimi natafuta accountants wenye njaa(250,000Tshs/month) after all sihitaji wenye ma CPA au ma degree jamani,sasa kuzifanyia kwa labda saa 5/wiki na labda ikawa weekend ni kidogo,lakini ni kidogo kiasi hicho?Mbona mnataka kunifanya niendelee kuchengana na TRA?

This is not a bad deal for a part timer with no degree or CPA qualification, by bongo standards .

Ukichukua wastani wa masaa 5 kwa wiki hapa tuna masaa 20, mshahara wa 12,500 kwa saa.

Kuna watu Marekani hawalipwi hivyo on an hourly basis.

Ila swali ni kweli itakuwa masaa 5 kwa wiki? Au ndiyi kuvutia watu halafu kazi zinakuwa zaidi?
 
Wadau nawashukuru wote waliojitokeza. Nimewapata watu 2.
Nimewalipa zaidi ya tulizotangaza kwa sababu wameonyesha utashi wa kazi na la ajabu mmoja wao ni Accountant haswa na ANA KITAMBI-aaaahaaaaaa!
La kusikitisha waliokuwa wanaponda hapa huku wananitumia PM,waswahili viboko kweli kweli. Ila nawashukuru ma Professional Accountant na wenye ujuzi walionielimisha.
Asante Belo,Lole,Bill,The farmer na wengine wote.Tutaendelea kumsaidia Mh.JK kuongeza ajira-hivyo hivyo kwa ugumu,tutagawana kilichopo.

Uwe juu Mkuu Katabazi, kama umepata zaidi ya mmoja nitumien contact.
 
Uwe juu Mkuu Katabazi, kama umepata zaidi ya mmoja nitumien contact.

Gwakisa,

Jaribu kumpigia mdogo wangu fulani kwa namba hii (0713 243944) nimejaribu kuongea naye ameonekana kuwa tayari.

Ongea naye kisha mtakutana na kukubaliana terms.
 
Last edited:
Hapo mwanangu unanikumbusha tajiri aliekuwa anatafuta huyo unayemwita accountant, interview yake very simple two plus two ni ngapi ,ukisema nne umekosa, alipokuja mjanja alipoulizwa two plus two ni ngapi, alinyanyuka kitini akafunga milango na madirisha akamuuliza yule bosi kwa sauti ndogo jee unataka niandike ngapi? wa namna hiyo utawapata Yussuf
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom