Accountant | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Accountant

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Katabazi, Apr 28, 2009.

 1. K

  Katabazi JF-Expert Member

  #1
  Apr 28, 2009
  Joined: Feb 18, 2007
  Messages: 355
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Part time Accountant needed: Salary-250,000/month max.,transactions-maximum 100Million/Month,must be Computer literate/ should be able to prepare P/L account books ready for TRA. We are VAT exempted. Can be based in DSM or Iringa,should be ready to start by May. If interested send your CV to rakeyescarl@yahoo.ie/ We will reply to all- successful and unsuccessful candidates.
   
 2. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #2
  Apr 28, 2009
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,894
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  am i reading corectly is it 2.5mn monthly? or otherwise?
   
 3. O

  OG4life Member

  #3
  Apr 28, 2009
  Joined: Apr 23, 2009
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  You are living us in a limbo,which currency is the 250,000/=salary. is it US$,Zim$,KShs,UShs etc,etc
   
 4. S

  Silas A.K JF-Expert Member

  #4
  Apr 28, 2009
  Joined: Apr 23, 2008
  Messages: 807
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  100m (US$ or TZS) volume of transactions per month na mshahara ni TZS/US$ 250,000?? unaweza kuiweka sawa sawa? lakini kama ni TZS 250,000 p/m basi mwambie aliyekutuma anaidhalilisha taaluma ya watu.

  Lakini ni part time job siyo mbaya! utapata wahasibu wenye njaa labda! anzia TZS500,000/ upate watu qualified!
   
 5. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #5
  Apr 28, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Du! 250,000/-pm!..Lazima huyo accountant awe fisadi kucheza na transactions.
  Is the salary negotiable?
   
 6. K

  Katabazi JF-Expert Member

  #6
  Apr 28, 2009
  Joined: Feb 18, 2007
  Messages: 355
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Guys I am sorry
  1.thinking hii ni globu ya wanajamii,I took it for granted. Anyway ni Tanzanias shillings zote
  2.Kinyamana/BelindaJacob-duuuh mnanimaliza,mnisamehe but that is what I can afford for now for a PART TIMER.Jamani kwa kuwa mimi nina njaa na mimi natafuta accountants wenye njaa(250,000Tshs/month) after all sihitaji wenye ma CPA au ma degree jamani,sasa kuzifanyia kwa labda saa 5/wiki na labda ikawa weekend ni kidogo,lakini ni kidogo kiasi hicho?Mbona mnataka kunifanya niendelee kuchengana na TRA?
   
 7. K

  Kokolo JF-Expert Member

  #7
  Apr 28, 2009
  Joined: Mar 20, 2008
  Messages: 487
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 45
  kama ni mimi nakubali hizo Tsh 250,000.00 kinachobaki nikucheza na number tu kujilipa zaidi ya Tshs10,000,000.00 kama transaction kwa mwezi ni Tshs 100,000,000.00, 10% inakuwa naweka mfukoni.
   
 8. M

  Mukubwa Senior Member

  #8
  Apr 28, 2009
  Joined: Aug 20, 2007
  Messages: 124
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Mkuu ungesema unahitaji accountant clerk hapo ungekuwa umetofautisha
   
 9. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #9
  Apr 28, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Mkuu,hapo nimekuelewa so unahitaji Book-keeper kama sikosei. Ungeandika vizuri maelezo kabla ya ya watu kutathmini kidogo hiyo salary na professional ya Accountant isingekuwa big deal.
  Ila hakijaaharibika kitu ni marekebisho tu kidogo, mafanikio mema katika zoezi zima la uajiri.
   
 10. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #10
  Apr 28, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  ndugu andika jina la kampuni ili iwekwe kwenye rekodi
   
 11. K

  Katabazi JF-Expert Member

  #11
  Apr 28, 2009
  Joined: Feb 18, 2007
  Messages: 355
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Shy email address pekee haitoshi?Siwezi kuweka jina la kampuni kabla ya kurekebisha mambo ya wazee wa kazi.
  Mukubwa&BelindaJacob -Asante sana then nahitaji Book-keper au Accountant clerk,dooh si ndio mana nikashangaa watu wanashtuka 250K TZshs/month?
  Kokolo itabidi ufanye kazi ya ziada.
   
 12. Belo

  Belo JF-Expert Member

  #12
  Apr 28, 2009
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 11,262
  Likes Received: 4,236
  Trophy Points: 280
  Kama kazi yenyewe ni Part time nafikiri huo mshahara unatosha
   
 13. Quemu

  Quemu JF-Expert Member

  #13
  Apr 28, 2009
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 986
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Watanzania bana...sijui kwanini mchawi wetu alituachia akili za kuvuka barabara tu..

  Mtu kaweka nafasi ya kazi. Katoa details za mshahara, aina ya employment (Part Time), na sehemu ya kazi (Dar au Iringa). Lakini kwa sababu zisizo za msingi watu mnabeza "oh sijui kwa mshahara huo utawapata wahasibu wenye njaa. oh sijui kwa mshahara huo, lazima mhasibu acheze na transaction. Oh sijui blah blah blah."

  Kwa nini lakini? Mbona tuko hivi? Yaani badala ya watu kudadisi kuhusu job functions ya hiyo position (kabla ya kushambulia kiwango cha mshahara), mnakejeli. Yaani kusoma neno "Accountant" tayari mmehusisha na "heavy duty" procedures. Au ni hiyo term P/L na volume ya 100m ndio imewafanya mfikirie kuwa ni lazima itakuwa kazi ya kutoa jasho kwelikweli? Ni vipi ikiwa kazi ya journal entry/data entry (yes kazi nyingi za journal entry wanazipa title ya accountant) au Accounts Receivable/Payable job, bado mtataka mlipwe nusu milioni kwa mwezi?

  Halafu mwingine anaomba afafanuliwe kama mshahara uko kwenye currency ya $, Tshs, Kshs or other. Yaani nini kimekufanya ufikirie kuwa hiyo namba inaweza kuwa kwenye currency nyingine zaidi ya Tshs? Je ni Accountant, P/L, or 100m, TRA, VAT or Computer literate???

  Tuache hizi tabia za kukimbilia kuzodoa. Zinabomoa. Swali la msingi la kumuuliza aliyepost hiyo kazi ni kuorodhesha job functions kwanza. Then tutajadili kutoka hapo (kama ikibidi).
   
 14. K

  Katabazi JF-Expert Member

  #14
  Apr 29, 2009
  Joined: Feb 18, 2007
  Messages: 355
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Asante QM!Big Up.
   
 15. g

  george asila New Member

  #15
  Apr 30, 2009
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  pamoja na shida zetu,hiyo hapana....
   
 16. The Farmer

  The Farmer JF-Expert Member

  #16
  Apr 30, 2009
  Joined: Jan 7, 2009
  Messages: 1,581
  Likes Received: 433
  Trophy Points: 180
  Huwezi kupata Mhasibu kwa mshahara huo, labda kama wewe ni muhasibu na unatafuta Mhasibu msaidizi ambaye atakuwa amesoma kufikia ngazi ya Cheti.

  Swali, Hii salary ni Take home au ndio Gross???
   
 17. Bill

  Bill JF-Expert Member

  #17
  Apr 30, 2009
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 4,145
  Likes Received: 1,237
  Trophy Points: 280
  Du that is where ufusadi comes in, 250,000 how can afford rent, food and other necessary needs. Ndugu yangu pitia upya hiyo salary
   
 18. Bill

  Bill JF-Expert Member

  #18
  Apr 30, 2009
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 4,145
  Likes Received: 1,237
  Trophy Points: 280

  Ndugu angalia hizo transaction per month na compansetion anayopata huyu mshikaji kuna tofauti kubwa sana hapa kiasi kwamba unaweza kumshawishi mtu kucheza rafu.

  Ndo haya Dr slaa anayapigia kelele kila siku.
   
 19. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #19
  Apr 30, 2009
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Mkuu umenena, ajira ni maelewano, na Katabazi kaonyesha njia.
  Accountant qualified mimi vile vile nahitaji, mtu nitumie message na simu yako nitakupigia.
   
 20. K

  Katabazi JF-Expert Member

  #20
  Apr 30, 2009
  Joined: Feb 18, 2007
  Messages: 355
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wadau nawashukuru wote waliojitokeza. Nimewapata watu 2.
  Nimewalipa zaidi ya tulizotangaza kwa sababu wameonyesha utashi wa kazi na la ajabu mmoja wao ni Accountant haswa na ANA KITAMBI-aaaahaaaaaa!
  La kusikitisha waliokuwa wanaponda hapa huku wananitumia PM,waswahili viboko kweli kweli. Ila nawashukuru ma Professional Accountant na wenye ujuzi walionielimisha.
  Asante Belo,Lole,Bill,The farmer na wengine wote.Tutaendelea kumsaidia Mh.JK kuongeza ajira-hivyo hivyo kwa ugumu,tutagawana kilichopo.
   
Loading...