Katitima
JF-Expert Member
- Jun 28, 2013
- 631
- 122
heshima kwenu wakuu,
Nina mdogo wangu wa kiume ambaye mwaka wa masomo uliopita alipata nafasi ya kusoma kozi ya "DIPLOMA IN ACCOUNTANCY-DA" katika TAASISI YA UHASIBU TANZANIA-(TIA) DAR ES SALAAM lakini kutokana na masuala ya kifamilia na sababu zisizoweza kuzuilika hakuweza hata kuripoti chuoni hivyo tukaandika barua ya kuomba kughairisha mwaka wakakubali.Sasa mwaka huu bwana mdogo amekuja na wazo jipya la kutaka kubadili kozi anataka kusoma "DIPLOMA IN PROCUREMENT AND LOGISTIC MANAGEMENT"-DPLM.
Wakuu,nikaona nisimsaidie kufanya maamuzi kabla sijaja kuomba ushauri kwa great thinkers hapa jukwaani.
NI KOZI GANI KATI YA HIZO MBILI INAWEZA KUWA NA TIJA JAPO KIDOGO KWA BWANA MDOGO ANGALAU AKIMALIZA MASOMO BILA KUJALI SUALA LA UPATIKANAJI WA MTAJI/KIANZIO ANAWEZA AKAJIFANYIA HATA VISHUGHULI VYA KUJIPATIA KIPATO KWA KUTUMIA WELEDI ATAKAOUPATA?
NAWASILISHA WAKUU.