650 JF-Expert Member Joined Jun 6, 2024 Posts 299 Reaction score 404 Sunday at 4:17 PM #1 Yaani nimeshangaa tu naingia inaniambia ni log in Asa nikasema sio kesi nikarequest verification code itumwe kwenye email nashaanga hazifiki Dah nakuja kuangalia Email sio yangu ambayo inatumiwa code Hii imetokea baada ya kujiunga telegram kwenye PC yangu
Yaani nimeshangaa tu naingia inaniambia ni log in Asa nikasema sio kesi nikarequest verification code itumwe kwenye email nashaanga hazifiki Dah nakuja kuangalia Email sio yangu ambayo inatumiwa code Hii imetokea baada ya kujiunga telegram kwenye PC yangu
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 55,622 Reaction score 55,221 Sunday at 4:18 PM #2 Pole
650 JF-Expert Member Joined Jun 6, 2024 Posts 299 Reaction score 404 Sunday at 4:19 PM Thread starter #3 Dah hata sielew nafanyaje
650 JF-Expert Member Joined Jun 6, 2024 Posts 299 Reaction score 404 Sunday at 4:20 PM Thread starter #4 Mtoto halali na hela said: Pole Click to expand... Shukran mkuu
650 JF-Expert Member Joined Jun 6, 2024 Posts 299 Reaction score 404 Sunday at 4:20 PM Thread starter #5 Njia ya sms telegram unahitaji mpaka niwe Premium
Supapawa JF-Expert Member Joined Aug 29, 2026 Posts 1,076 Reaction score 2,661 Sunday at 4:23 PM #6 Pole mkuu, hadi nakuonea huruma ulivyotokwa na macho (kwenye avatar) mithili ya Zongobinyo.
kitalembwa JF-Expert Member Joined Jul 12, 2014 Posts 8,172 Reaction score 21,808 Sunday at 4:41 PM #7 Fungua nyingine