Taylor king
Senior Member
- Aug 16, 2017
- 102
- 128
Kuwa mwaminifu, nenda kwa mhasib wako wa chuo,,,,then umueleze kilichotokeaHabari zenu great thinkers! Mimi ni mwanafunzi wa chuo mwaka wa kwanza Mwaka wa masomo 2017/2018. Wiki mbili zilizopita tuliopata mkopo batch ya pili tuliambiwa tukasign ili tuweze kupewa fedha zetu. Tulisign na pesa zikaingizwa kwenye account zetu. Sasa juzi batch ya tatu wamepewa fedha zao na mimi kwenye account yangu fedha zikaingia tena kwa mara ya pili. Kwa kawaida inatakiwa niwe napewa laki tano tu kila semester Kutokana na asilimia ya mkopo wangu. Nachotaka kujua inakuaje hapo kwenye hizo fedha za mara ya pili ntadaiwa au? Nawasilisha!
unaweza ukataarifu mhasibu ndo akazipiga hizo pesaKuwa mwaminifu, nenda kwa mhasib wako wa chuo,,,,then umueleze kilichotokea
kama umepata mara mbili jua lazima kuna mwanafunzi mwingine aliyetakiw kupewa ila muamala ulikosewa.. later kama aliyekosa akiifuatilia t will be traced back to ur a/c... Kua mwaminif ureport kwa muhusika na kama u don't plan to, tulia ila usiitumie for now...Habari zenu great thinkers! Mimi ni mwanafunzi wa chuo mwaka wa kwanza Mwaka wa masomo 2017/2018. Wiki mbili zilizopita tuliopata mkopo batch ya pili tuliambiwa tukasign ili tuweze kupewa fedha zetu. Tulisign na pesa zikaingizwa kwenye account zetu. Sasa juzi batch ya tatu wamepewa fedha zao na mimi kwenye account yangu fedha zikaingia tena kwa mara ya pili. Kwa kawaida inatakiwa niwe napewa laki tano tu kila semester Kutokana na asilimia ya mkopo wangu. Nachotaka kujua inakuaje hapo kwenye hizo fedha za mara ya pili ntadaiwa au? Nawasilisha!
ushauri wangu, save it for the future, ukae ukijua kabisa bumu linalofuata hautapata, audit huwa inafanyika na ni lazima wata i trace kwenye account yako, huu ushauri nimekupa kwa sababu uneshaonyesha dalili za kutaka kuipiga
ukitaka kila kitu kiende sawa ka report sehemu husika, waichukue hela yao, hizo batch zinazofuata ni muhimu sana kwako kuliko kuwa blacklisted kwa utapeli
Hiyo ni pati ya kimya kimya. Kula hiyo pesa dogo. Niliwahi kuingiziwa pesa mara mbili mwaka 2006! By then tulikuwa tunapata boom dogo sana ilikuwa laki na nusu kitu kama hicho. Of course kwenye kulipa wakiangalia statement yako utakuja kulipisha but that will be in the next ten years!
Acha uoga!Nyakati zimebadilika isije ikawa soo ya kukufutia mkopo kabisa. Kwa serikali hii rudisha tu yaishe.
Mkuu jamaa awe makini Huwa wanastuka.Tulishawahi pewa masaa kadhaa tuwe tumerudisha hela.Vingap Serikali Yako Imekuibia
Twende Tuu Bar Tukanywe Balim Ndugu Yangu