Account software inahitajika

Account software inahitajika

Wernery G Kapinga

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2012
Posts
381
Reaction score
131
Bila shaka mko vizuri.

Mwenye accounting software kwa ajili ya kuratibu collections na expenditure kwenye shule, tafadhali tuwasiliane.

Note: Isiwe na Mambo mengine Kama vile academics, sijui nini, yaani ni ya collections ya school fees pamoja na matumizi yake. Basi. Zaidi tuwasiliane 0621538913.

Ahsanteni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom