Account instagram

Account instagram

ukituma hela tu bila kuonana na mwenye account unapigwa....uwe mjanja sana kwenye ununuzi wako... onana na muuzaji
 
Nina uwezo wa kukuza acc yako ya mwanzo kwa gharama ya elf 50 tuu kwa mwezi.

Faida utakazozipata,
-account yako itakuzwa kutokana na mahitaji yako, kama unauza nguo basi italenga wateja wa nguo
-followers wako watakuwa wanafahamu account inahusiana na nini hivyo kuongeza kipato
-utapata followers ambao watakuwa n specific demographic, maana wale ambao wanauhitaji na bidhaa zako
-followers wako watakuwa ni watu halisi, sio account ambazo zinaendeshwa kwa computer
-itatumika njia halali ya kuongeza followers wako, hivyo kuondoa adha ya kufungiwa acvount yako.
-kila mwezi utapata followers wasiopungua elfu kumi (10k) watakaokua na faida ukilinganisha
na account za kununua moja kwa moja
-utapata msaada haraka sana kwa masaa 24(mda wowote) endapo kutakuwa na tatizo lolote kiufundi.
-malipo ni kila mwanzo wa mwezi tokea account itengenezwe na unauwezo wa kusitisha na kubaki na account yako.

Unakaribishwa pm
 
si umwambie tu unamfanyia sponsored adds.. msaidie jamaa yako.. maana sponsored adds ndio easy way na analipia mwenyewe via bank

Nina uwezo wa kukuza acc yako ya mwanzo kwa gharama ya elf 50 tuu kwa mwezi.

Faida utakazozipata,
-account yako itakuzwa kutokana na mahitaji yako, kama unauza nguo basi italenga wateja wa nguo
-followers wako watakuwa wanafahamu account inahusiana na nini hivyo kuongeza kipato
-utapata followers ambao watakuwa n specific demographic, maana wale ambao wanauhitaji na bidhaa zako
-followers wako watakuwa ni watu halisi, sio account ambazo zinaendeshwa kwa computer
-itatumika njia halali ya kuongeza followers wako, hivyo kuondoa adha ya kufungiwa acvount yako.
-kila mwezi utapata followers wasiopungua elfu kumi (10k) watakaokua na faida ukilinganisha
na account za kununua moja kwa moja
-utapata msaada haraka sana kwa masaa 24(mda wowote) endapo kutakuwa na tatizo lolote kiufundi.
-malipo ni kila mwanzo wa mwezi tokea account itengenezwe na unauwezo wa kusitisha na kubaki na account yako.

Unakaribishwa pm
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom