Mkuu Chief nimeangalia kwny email code haipo na simu yenyewe nilipewa kama zawadi na ku sign in kwa email yangu ya microsoft na ilifanya kazi kama kawa tatizo ilikuja baada ya fundi kufactory reset upya wakati kazi niliyompa ni kuziba kava za nje vizuri baada ya kuidondosha simu. So kila niki sign in bado inadai account failure