jackson charles bullet
Member
- Mar 11, 2016
- 53
- 45
asante sana nimekusomaInaitwa Accounting and Finance au Accounting. Accounting na Accounts ni vitu tofauti japo vinashabihiana.
Accounting and Finance inahusika na Masuala ya uhasibu na Fedha ikimaanisha utasomea Njia mbali mbali na mbinu na mipango ya kutafuta rasilimali fedha za kuendesha na kusimamia Taasisi pamoja na namna na taratibu za kutumia fedha hizo na namna ya kutaarifu matumizi hayo( Preparation of Financial reports).
Accounting inahusika zaid na masuala kurekodi miamala ( business transaction) kwa kufuata taratibu na baadae kuripoti.
Kama unajiweza zaidi na unataka kuwa na wigo mpana zaid wa ufahamu nakushauri fanya degree ya Accounting and Finance japo kwa Vyuo vingi vya hapa Tanzania ukitazama course wanazosomesha zinakuwa kama sawa tu hakuna tofauti japo ipo tofauti
asante kwa ushauriSoma bcom in accounts.
asante sana nimekuelewaWapo Sawa. Ni majina tu. Ila usisome finance peke yake itakurudisha nyuma ukija kutaka kusoma CPA
kama utojari naomba uni pm ningependa kukuhuliza baazi ya vitu sijui namna ya ku pm ndomana nimekuomba nategemea msaada wako kiushauriInaitwa Accounting and Finance au Accounting. Accounting na Accounts ni vitu tofauti japo vinashabihiana.
Accounting and Finance inahusika na Masuala ya uhasibu na Fedha ikimaanisha utasomea Njia mbali mbali na mbinu na mipango ya kutafuta rasilimali fedha za kuendesha na kusimamia Taasisi pamoja na namna na taratibu za kutumia fedha hizo na namna ya kutaarifu matumizi hayo( Preparation of Financial reports).
Accounting inahusika zaid na masuala kurekodi miamala ( business transaction) kwa kufuata taratibu na baadae kuripoti.
Kama unajiweza zaidi na unataka kuwa na wigo mpana zaid wa ufahamu nakushauri fanya degree ya Accounting and Finance japo kwa Vyuo vingi vya hapa Tanzania ukitazama course wanazosomesha zinakuwa kama sawa tu hakuna tofauti japo ipo tofauti
Una mpoteza sana. Moja ya watu wenye hatari ya kupoteza kazi kutokana na technolojia ni watu waliosoma account peke yake. Ila ukisoma account na finance, finance haiwezi kuwa computerised yote. Ila account anaweza fanya hata mtu aliyesoma socialogy iwapo tu ana system nzuri mfano pastel etc. Na pia mtu wa account anafundishwa tu why, ila how ni yule aliyesoma account and finance, hivy kama kijana unataka kujua why and how soma account and financeSoma bcom in accounts.
well said!Una mpoteza sana. Moja ya watu wenye hatari ya kupoteza kazi kutokana na technolojia ni watu waliosoma account peke yake. Ila ukisoma account na finance, finance haiwezi kuwa computerised yote. Ila account anaweza fanya hata mtu aliyesoma socialogy iwapo tu ana system nzuri mfano pastel etc. Na pia mtu wa account anafundishwa tu why, ila how ni yule aliyesoma account and finance, hivy kama kijana unataka kujua why and how soma account and finance
asante kwa ushauri wako nimekuelewa broUna mpoteza sana. Moja ya watu wenye hatari ya kupoteza kazi kutokana na technolojia ni watu waliosoma account peke yake. Ila ukisoma account na finance, finance haiwezi kuwa computerised yote. Ila account anaweza fanya hata mtu aliyesoma socialogy iwapo tu ana system nzuri mfano pastel etc. Na pia mtu wa account anafundishwa tu why, ila how ni yule aliyesoma account and finance, hivy kama kijana unataka kujua why and how soma account and finance
You make sense.. kumbe una akili hivo? Kwenye siasa tu unajitoaga ufahamuUna mpoteza sana. Moja ya watu wenye hatari ya kupoteza kazi kutokana na technolojia ni watu waliosoma account peke yake. Ila ukisoma account na finance, finance haiwezi kuwa computerised yote. Ila account anaweza fanya hata mtu aliyesoma socialogy iwapo tu ana system nzuri mfano pastel etc. Na pia mtu wa account anafundishwa tu why, ila how ni yule aliyesoma account and finance, hivy kama kijana unataka kujua why and how soma account and finance
Una mpoteza sana. Moja ya watu wenye hatari ya kupoteza kazi kutokana na technolojia ni watu waliosoma account peke yake. Ila ukisoma account na finance, finance haiwezi kuwa computerised yote. Ila account anaweza fanya hata mtu aliyesoma socialogy iwapo tu ana system nzuri mfano pastel etc. Na pia mtu wa account anafundishwa tu why, ila how ni yule aliyesoma account and finance, hivy kama kijana unataka kujua why and how soma account and finance
Hebu nionyeshe jinsi ya kufanya CONSOLIDATION kwa Kutumia Pestel au TALLY . We Unaongelea Dr and Cr zinazofanywa na CASHIERS na sio ACCOUNTANTS.Una mpoteza sana. Moja ya watu wenye hatari ya kupoteza kazi kutokana na technolojia ni watu waliosoma account peke yake. Ila ukisoma account na finance, finance haiwezi kuwa computerised yote. Ila account anaweza fanya hata mtu aliyesoma socialogy iwapo tu ana system nzuri mfano pastel etc. Na pia mtu wa account anafundishwa tu why, ila how ni yule aliyesoma account and finance, hivy kama kijana unataka kujua why and how soma account and finance
MOCU, Mzumbe, Ardhi, AIA hizo public ni nzuri sanavyuo vinavyotoa accounting and finance naona n vichache sana je ushindani wakupata chuo siutakua mkubwa sana
Una mpoteza sana. Moja ya watu wenye hatari ya kupoteza kazi kutokana na technolojia ni watu waliosoma account peke yake. Ila ukisoma account na finance, finance haiwezi kuwa computerised yote. Ila account anaweza fanya hata mtu aliyesoma socialogy iwapo tu ana system nzuri mfano pastel etc. Na pia mtu wa account anafundishwa tu why, ila how ni yule aliyesoma account and finance, hivy kama kijana unataka kujua why and how soma account and finance
Wewe ndio umpiga chaka kabisa,kuwa unasomea umeneja?, loh?hujui ukisemacho....na hio ndio tofauti ya udsm na mzumbe,mtu anayesoma b com accounting hafundishwi kwenda kuwa muhasibu bali anafundishwa kwenda kuwa manager ,na hapo nazungumzia kwenda kufanya maamuzi katika taasisi so kusema eti ukisoma accounting utakuuwa muhasibu na utakosa soko la ajira kwa kuwa vitu viko computerized ni uongo kwan maamuzi ni pale kurecord kufanya analysis na ku take action na sio ku record tu transaction