Mi binafsi alivoniacha alikujaga kunambia kuwa mi sina shida yeyote ni vile tu hana hisia na mimi.
Vipi wewe ex wako alisema shida nini mpka mkaachana?

pia sikuelewa vizuri sababu hiyo maana ilikua kila siku nikitoa maelekezo au mawazo ya kifamilia analalama tu, ooh wewe si ndio mwenye elimu, sisi wengine hatujasoma na hatuna mawazo n.k
mwishowe akasonga mbele na sikua na haja ya kubabaika nae mpaka kesho japo tulifanikiwa kupata kijana moja wa kike pamoja π
Gentleman,
hiyo inawezekana kabisa,
kwasababu kwa mabinti wa dar kama huna mshedede wa maana, Lazima uisome namba, labda umkute kachoka show za nje π

Shida ilikua ni mimi,.Nilikua mjuaji sana na mdomo,.
Ila alinisaidia kujua ukweli na nimejirekebisha,.
Ni kwasababu yake saizi nimenyooka kwenye mahusiano sioni vile vimigogoro kama vya zamani