Mkuu Pasco, nami nimeijaribu kwenye nokia (symbian s60), overall mwonekano ni mzuri na threads na posts zimejipanga vizuri... button ya thanks ndiyo ina miss. Naona wengi wanaihitaji hii... lol
Steve, natumia N.97, maandishi ni madogo sana, nikiyakuza kidogo, yana overlap screen, ila nilipojarudi kurudi kwenye mche wa sabuni, E.90, ni perfect, ukikuza maandishi, yanajialign kwenye same screen bila overlap.
Hii mobile service ina kitu ingine bomba kule kawaida haipo, ukiclick kurudi top, inakupeleka straight kwenye new post.
Japo sijahesabu, ya kawaida inalink only 20 new posts per page, hii mobile naona zinamwagika tuu kama RSS, ukiende chini, zinazidi kufunguka!.
This is really good.
Naomba pia kuchukua fursa hii, kuwapa mbinu za kulipia bili ndogo ya simu kwenye mobile innternnet bila kuumia, kwangu imetokea tuu by chance, ila sasa naifaidi internet ya almost bure.
Kwa kutumia simu za N.Series, kama wewe unatmia mtandao wa Zain, ondoa sim card yako ya Zain, nunua sim card ya Voda, itakudirect namna ya automatic set up ya internet na email zako utazipata instant kama kwenye black bery, ikishajiset, chomoa hiyo sim card ya voda, rudisha sim card yako ya Zain, utaona e-mails huzipati tena direct, nenda kwenye internet, ukiconnect, itakuuliza, connect through vodacom?, maana ndio iko confugured, wewe click yes, itaku connect straight kwenye 3G ya voda kutumia sim card yako ya Zain, stay as much as you need, then check balance, utakuwa surprised kukuta ni negligible!.
Enjoy freedom of information at most afordable rates!.
NB. Msiwaulize wenyewe, wasije wakablock uhuru huu, kama enzi zile za simu za vibandani za TTCL, unapiga wrong number, ukishajibiwa na answering machine, try another number, unatwanga trancall kwa local rates!, mijitu ikaanza kujazana, foleni ndefu mpaka wenyewe wakashituka, wakavifungilia mbali vibanda vyao!.