Access bank

Access bank

Ren g

Member
Joined
Mar 27, 2013
Posts
18
Reaction score
1
Wadau naomba mnisaidie mshahara wa loan officer na client adivisor access bank
 
Hao jamaa Wanatoa 350,000 TZS,plus bonus kama umefikia Target waliokupa,but haifiki Laki Tano
 
Bonus yao uwa inaanzia sh ngap? Mpaka sh ngap mdau? Kwa ma officer
 
Wadau naomba mnisaidie mshahara wa loan officer na client adivisor access bank

Aaaaah!!!!access,Loan officer wanaanza na 180,000/= ila baadae huja kuongezeka na kufikia hiyo 350,000/= bt ukianza utaanzia 180,000/=
 
Utaanza na malipo ya 190,000/= kwa muda wa miezi miwili ya kwanza....mwezi wa kwanza utasoma darasani ni elimu sio masihara pia kabla ya darasa utapita benki wiki moja! Ukifaulu mitihani yao by average of 50%+ basi utaitwa kuanza kazi by target.....Ukimeet target hiyo utaanza kupewa salary ya 370,000 kwa mwezi plus bonus,communication na nauli.
Ukimeet hiyo target ya miezi minne....you will now have finished six months of probation....na utaanza kulipwa 450,000 plus bonas and other incentives!
Mwanzo mgumu but ni moja ya kazi nzuri!
 
Jiandae kwa stress pia mkuu

kuna boss mmoja nilikuwa namwambia anipe loan officer finca alikuwa anaktaa kila siku aliniambia hiyo kazi ni headache unaweza kuvua wigi kama kichaa pia kama una ndoa inaweza kuvunjika maana stress hadi genye zinaisha zenyewe
 
Aisee hali inatisha. Sasa 190k mtu atahama nyumbani lini? Bado kuna nauli na uvae smart na kunukia uturi! Kweli na serikali inahesabu hizi ni ajira! Ndo maana kila mtz akiajiriwa anatafuta pa kuiba!
 
ungekuja finca bi shostii naona wanavyo angaika ila wanalipwa vizuri sana
 
  • Thanks
Reactions: amu
Aisee hali inatisha. Sasa 190k mtu atahama nyumbani lini? Bado kuna nauli na uvae smart na kunukia uturi! Kweli na serikali inahesabu hizi ni ajira! Ndo maana kila mtz akiajiriwa anatafuta pa kuiba!

Yani.. it's so dissapointing... afu wengine naskia unakuta mtu anadegree anapata 150,000..nyingne inaenda erolink.. tena ofc kubwa like Vodacom
 
Aisee hali inatisha. Sasa 190k mtu atahama nyumbani lini? Bado kuna nauli na uvae smart na kunukia uturi! Kweli na serikali inahesabu hizi ni ajira! Ndo maana kila mtz akiajiriwa anatafuta pa kuiba!
But sioni mbaya kwa sababu wanaajiri fresh graduates na hiyo inakuwa ni miezi miwili ya Mwanzo....it is like internship....kuna internship hawapewi hata nauli...kama huna kazi ni kazi nzuri....ila kama una kazi sio kazi nzuri.
 
ungekuja finca bi shostii naona wanavyo angaika ila wanalipwa vizuri sana

Kama hujui malipo ya kampuni mbili toafauti sio vyema kumshauri mtu usichokijua...
ni bora ukatafuta ukweli kama mimi nilivyoutafuta ukweli....tufanye kusaidiana na sio kupotoshana.
Ni ushauri tu.
 
180,000? Ikipanda ndo inakuwa 450,000?
Kwan boom siku hizi imefika sh ngapi?
Duh kweli wanacheza na nguvu za watu

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
ungekuja finca bi shostii naona wanavyo angaika ila wanalipwa vizuri sana
ha ha hapo siyo tatizo kuja tatizo ni kusubiria position nzuuuri anadai loan officer ni mkanganyiko
 
ha ha hapo siyo tatizo kuja tatizo ni kusubiria position nzuuuri anadai loan officer ni mkanganyiko

Hahahaaaaaaaa! Hio Loan Office nzuri saaana! Mi nilikua naitaka STANBIC PALE sema wanaiita Corporate sales wakanibania nyama walee! Ila ni bomba sanaaaa! Ukisharipoti unarudi home kulala.

Ukiwa mtoto wa mujini huwezi kukosa wateja wa chochote! Kama mikopo si unaenda sokoni tu kuongea nao wanavohaha kusaka hio mikopo! Acha hongo unzokula kuwapitishia hio mikopo. Ukiwa na akili nyingi huitaji nguvu nyingi.
 
Back
Top Bottom