MAPENZI UPOFU
Member
- Sep 5, 2012
- 10
- 1
Habari zenu wote? Nilifanya application Access Bank na nimeitwa kwenye interview itakayo fanyika Mwanza next wekend. Naomba msaada tafadhali kama kuna mtu anajua vitu vya msingi wanavyopendelea kuuliza na jinsi interview zao zilivyo coz hii ndo interview yangu ya kwanza tangu nimemaliza chuo. mawazo yenu yatakuwa ya thamani sana kwangu, asante
na interview ya namna gani ie written au oral!?1. Uliomba lini na nafasi gani?maana zilitangazwa nyingi
2. Simu umepigiwa lini?
3. Proffessional yako ni ipi?
Then nitakujuza kinachofuata
duh, hadi hii nayo sijaitwa?kazi kwelikweli....
walitoa tangazo kuwa wanafungua tawi jipya mkoani Mwanza so wanataka watu ambao wanasifa hzo moja wapo awe na 1st class or upper 2nd barchelor degree watume CV tu hawakuspecify positions, simu nimepigiwa juzi alhamis mchana na wameniambia ni oral interview ndani ya CBE Mwanza. me nimesoma Ba. Economics

hata mi nimepigiwa simu friday, nimeitwa kwa intavyuu mwanza ila unajitegemea kila kitu. Nimeambiwa niende na peni na passport saiz 2. Ngoja tuone itakavyokuwa Mungu ni mwema
unatakiwa kuwa na moyo wa bati kufanya kazi na access
kivipi mkuu?
walitoa tangazo kuwa wanafungua tawi jipya mkoani Mwanza so wanataka watu ambao wanasifa hzo moja wapo awe na 1st class or upper 2nd barchelor degree watume CV tu hawakuspecify positions, simu nimepigiwa juzi alhamis mchana na wameniambia ni oral interview ndani ya CBE Mwanza. me nimesoma Ba. Economics
umemaliza wap chuo?kama sio wa ifm,cbe,udom au TIA usijisumbue hata kwenda?