Barraza
JF-Expert Member
- Oct 10, 2011
- 481
- 270
naomba kujuzwa kama kuna ambaye ameshapewa taarifa za kuajiriwa. kwa wale waliokwenda kufanya final interview kwenye Branches. Hii nafasi nikiikosa kuna uwezekano wa kufikiria kufanya ujambazi, hali inazidi kuwa ngumu na ajira hazipo na mtaji wa biashara unasumbua na motisha za kujiajiri hakuna.