theLaikwanani
Member
- Oct 13, 2017
- 14
- 16
Kuna Redio ambayo siwezi kuisikiliza katika Radio Garden hapo?
Kama tayari nina Radio Garden, hii app itaniongezea nini?
Radio 5 vipi
sawa mkuuBado hawajaweka uwezo wa ku stream online. Kama unafanya nao kazi waambie tunaweza wasaidia kufanya mitambo yao pia iweze kuwa kwenye inteneti na kuwekwa kwenye app yetu.
Sijasema kwamba kuna redio nataka kuijumuisha huko,nauliza, kama mimitayari nina Radio Garden, nina haja gani ya kuwa na app hii?Send us an email at info@sikiliza.co.tz au unaweza weka hapa kwenye tovuti yetu sisi tutahiruhusu iwe kwenye app -- SIKILIZA
Nijulishe bado kama unamaswali.
Asante
Sijasema kwamba kuna redio nataka kuijumuisha huko,nauliza, kama mimitayari nina Radio Garden, nina haja gani ya kuwa na app hii?
Kuna Radio ambayo haipo katika Radio Garden ambayo ipo kwenye app yenu?
Data si issue kwangu, nina unlimited plan na nikiwa nyumbani na kazini natumia wifi.wewe umejaribu app yetu? Radio garden iko vizuri ila ila vitu vingi kwa mtu ambaye anataka tu kusikiliza radio. Pia radio garden kwa kuwa ina vitu vingi inakula data sana kwa hiyo siyo nzuri kwa watu ambao wako makini na data.
App yetu iko inazingatia umuhimu wa redio kwa kila nchi. Mtanzania kwa mfano atakuwa anapenda zaidi kusikiliza redio za tanzania ingawa muda kwa muda anaweza sikiliza redio za nje ila mara nyingi anasikiliza redio za kitanzania.
hii ni sehemu tu ambayo kwa nini utahitaji app yetu. Ila kama unavyo jua uamuzi ni wako siku ya siku sisi tutaengeneza na kuboresha app yetu kuhakikisha ina ubora wa juu.
Hii app ingekuwa inaweza kutumika hata kwenye 2G au Offline ingekuwa poa sanaaa ...
Nawaza huku kwetu mtandao wa 3G na 4G ni mtihan kidogo
Data si issue kwangu, nina unlimited plan na nikiwa nyumbani na kazini natumia wifi.
Mpaka sasa hujanieleza cha zaidi cha kunifanya ni install kwa sababu nikitaka kusikiliza redio za Tanzania nitazipata Radio Garden.