Chris Mungoreme Member Joined Aug 10, 2011 Posts 72 Reaction score 14 Nov 23, 2016 #1 Wapendwa nina CPA ila nipo interested kusoma ACCA kuna fursa nimeiona nje ya nchi.Naomba kuuliza ukiwa una CPA kuna exemption kwa kiwango gani ili nipate ACCA? Thanks
Wapendwa nina CPA ila nipo interested kusoma ACCA kuna fursa nimeiona nje ya nchi.Naomba kuuliza ukiwa una CPA kuna exemption kwa kiwango gani ili nipate ACCA? Thanks