Opticf Member Oct 4, 2012 62 4 Oct 17, 2012 #1 Samahan wana jf hv requirements za kufungua acc. Bacrays bank ni zp na min. amount ya kufungulia ni sh. Ngap?
Samahan wana jf hv requirements za kufungua acc. Bacrays bank ni zp na min. amount ya kufungulia ni sh. Ngap?
Lambardi JF-Expert Member Feb 7, 2008 16,513 17,385 Oct 17, 2012 #2 Barua mwajiri/mtendaji wa serikali za mtaa.(Salary slip kwa mfanyakazi)..picha 2,kianzio sh 10,000/ na kujaza form ya maombi.
Barua mwajiri/mtendaji wa serikali za mtaa.(Salary slip kwa mfanyakazi)..picha 2,kianzio sh 10,000/ na kujaza form ya maombi.
M MMOJA JF-Expert Member Aug 30, 2012 445 259 Oct 17, 2012 #3 Opticf said: Samahan wana jf hv requirements za kufungua acc. Bacrays bank ni zp na min. amount ya kufungulia ni sh. Ngap? Click to expand... Swali kama hili,hapa sio mahala pake,hii ni safu ya kazi na tenda
Opticf said: Samahan wana jf hv requirements za kufungua acc. Bacrays bank ni zp na min. amount ya kufungulia ni sh. Ngap? Click to expand... Swali kama hili,hapa sio mahala pake,hii ni safu ya kazi na tenda
angedizzle JF-Expert Member Aug 8, 2011 590 504 Oct 19, 2012 #4 Lambardi said: Barua mwajiri/mtendaji wa serikali za mtaa.(Salary slip kwa mfanyakazi)..picha 2,kianzio sh 10,000/ na kujaza form ya maombi. Click to expand... mbona hujamwambia kama kila mwezi ana-chajiwa 10,000?????
Lambardi said: Barua mwajiri/mtendaji wa serikali za mtaa.(Salary slip kwa mfanyakazi)..picha 2,kianzio sh 10,000/ na kujaza form ya maombi. Click to expand... mbona hujamwambia kama kila mwezi ana-chajiwa 10,000?????
M Mtilytz Member Oct 9, 2012 5 0 Oct 19, 2012 #5 Kweli jibu zuri sana hajawahi kutembelea bank hata moja? Kuna sehemu wameandika mapokezi may b hajui kusoma hata kiswahili!
Kweli jibu zuri sana hajawahi kutembelea bank hata moja? Kuna sehemu wameandika mapokezi may b hajui kusoma hata kiswahili!