Academic Transcript ya UDOM - T/UDOM/2011/02961 imeokotwa

Philipo D. Ruzige

JF-Expert Member
Sep 25, 2015
9,412
26,892
Hello JF

Nimeokota Academic Transcript ya UDOM

JINA: RAMADHANI, SAID
REG: T/UDOM/2011/02961
COLLEGE: EDUCATION
PROG: BACHELOR OF EDUCATION IN SPECIAL NEEDS

Kama unamfahamu muhusika basi mjuze.

Cont: 0656400654
1548576354588.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hongera kwa kupata GPA ya 4.0

uliyeokota nadhani kichane tu kwa sababu chuoni transcript hupatikana kwa idadi unayotaka.

kwanza kwenye uhakiki hiyo transcript haihakikiwi.
 
Mkuu acha hizo,kiroho papo hakijengi. Chuo kukipata itabidi asote upya kufatilia kila siku atapoteza muda bora hapa atampata mhusika fasta na kuchukua chake
hongera kwa kupata GPA ya 4.0

uliyeokota nadhani kichane tu kwa sababu chuoni transcript hupatikana kwa idadi unayotaka.

kwanza kwenye uhakiki hiyo transcript haihakikiwi.
 
Mbona wengine wanaambiwa transcript inatoka mara moja tuu wewe ndo unaamua zitoke ngapi lakini hutolewa mara moja au

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
hongera kwa kupata GPA ya 4.0

uliyeokota nadhani kichane tu kwa sababu chuoni transcript hupatikana kwa idadi unayotaka.

kwanza kwenye uhakiki hiyo transcript haihakikiwi.
Kutokana na hali ya transcript yenyewe inaonekana kaipoteza ndan ya muda mfupi uliopita yani ni kama ameidondosha ndani ya siku siku hizi mbili-tatu.

Kama atafuatilia chuo kupata nyingine ni sawia, nimeweka hapa just in case kuna mtu anamjua ili tumpunguzie mizunguko tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom