Academic Transcript ya UDOM - T/UDOM/2011/02961 imeokotwa

hongera kwa kupata GPA ya 4.0


uliyeokota nadhani kichane tu kwa sababu chuoni transcript hupatikana kwa idadi unayotaka.


kwanza kwenye uhakiki hiyo transcript haihakikiwi.
 
Mkuu acha hizo,kiroho papo hakijengi. Chuo kukipata itabidi asote upya kufatilia kila siku atapoteza muda bora hapa atampata mhusika fasta na kuchukua chake
hongera kwa kupata GPA ya 4.0


uliyeokota nadhani kichane tu kwa sababu chuoni transcript hupatikana kwa idadi unayotaka.


kwanza kwenye uhakiki hiyo transcript haihakikiwi.
 
Mbona wengine wanaambiwa transcript inatoka mara moja tuu wewe ndo unaamua zitoke ngapi lakini hutolewa mara moja au

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
hongera kwa kupata GPA ya 4.0


uliyeokota nadhani kichane tu kwa sababu chuoni transcript hupatikana kwa idadi unayotaka.


kwanza kwenye uhakiki hiyo transcript haihakikiwi.
Kutokana na hali ya transcript yenyewe inaonekana kaipoteza ndan ya muda mfupi uliopita yani ni kama ameidondosha ndani ya siku siku hizi mbili-tatu.

Kama atafuatilia chuo kupata nyingine ni sawia, nimeweka hapa just in case kuna mtu anamjua ili tumpunguzie mizunguko tu[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona wengine wanaambiwa transcript inatoka mara moja tuu wewe ndo unaamua zitoke ngapi lakini hutolewa mara moja au

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Inawezekana ndugu,

Lakini pia huo mzunguko wa mtu kurudi UDOM na kuanza kufuatilia pia ni gharama mpya.

Tusubiri kama atajitokeza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hongera kwa kupata GPA ya 4.0


uliyeokota nadhani kichane tu kwa sababu chuoni transcript hupatikana kwa idadi unayotaka.


kwanza kwenye uhakiki hiyo transcript haihakikiwi.
kuhusu kuhakikiwa, binafsi kuna interview mbili nilienda walizihitaji ili kupata hizo academi records zangu japo cheti nililua nacho.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…