Dr Adam Francis
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 710
- 1,157
Mnyika huyu aliyefeli first year aka sepa kukimbilia kwa mbowe ndio unamlinganisha na gwiji wa UNO mama migoro kweli wewe zuzu
USSR
Mnyika huyu aliyefeli first year aka sepa kukimbilia kwa mbowe ndio unamlinganisha na gwiji wa UNO mama migoro kweli wewe zuzu
USSR
ila Bashite!!Mnyika huyu aliyefeli first year aka sepa kukimbilia kwa mbowe ndio unamlinganisha na gwiji wa UNO mama migoro kweli wewe zuzu
USSR
Jikumbushe hoja kuu au nawe kichwa maji..vipi Mama Abduli aliyefeli form 4 ?
Hebu kuwa na nidhamu kwanza, hivi unamjua huyo Mama Migiro au unaleta siasa zako za majitaka tu hapa. Huyk CV yake imeshiba hana elimu ya kubabaishakuna wakati vyuo vingewapokonya vyeti baadhi ya wahitimu kama
1. mwakyembe
2. hapa na pale
3. huyo migiro
4. mwigulu
5. ccm wote
Aliacha Chuo ili agombee ubunge shule gani ya Mnyika kudisco..Hakuna haja ya kuibua vimisamiati vya kiingereza ili kumpamba mnyika, huyo dogo ni kilaza na alidisco chuo...
Usimlinganishe dr migiro na uchafu uchafu wa tecdema...
Na kule chadema kuna matatizo makubwa sana ambayo hayana mwisho.
DIVISHENI FOODokita Samuya kidato cha nne alipata daraja gani?
Mkuu futa Hilo neno la Mnyika kuwa alidisco chuo utapata aibu sana humu Bora hayo maneno uyapeleke Facebook kwa watoto ambao hawajui kitu, hivi unamjua Mnyika wewe? Unakijua hata chuo hicho unachosema alidisco?Hakuna haja ya kuibua vimisamiati vya kiingereza ili kumpamba mnyika, huyo dogo ni kilaza na alidisco chuo...
Usimlinganishe dr migiro na uchafu uchafu wa tecdema...
Na kule chadema kuna matatizo makubwa sana ambayo hayana mwisho.
prida Kasema siku hizi unapiga spana balaa mama mkwe πππMimi nadhani tumlinganishe Dokta Samia na Dokta Migiro.
Kuna namna naona NECTA wataingilia kati.
MnyikaLeo tujadidili ugwiji wa miamba hii miwili; Asha Rose Migiro first class ya law UDSM na Mnyika TO Tanzania. Nani ametisha
huyu huyu asha rose ama kuna mwingine, kama ni huyo hakuna kituHebu kuwa na nidhamu kwanza, hivi unamjua huyo Mama Migiro au unaleta siasa zako za majitaka tu hapa. Huyk CV yake imeshiba hana elimu ya kubabaisha
To be fair, fanya apple-to-apple comparison. Idiots wa CCM walinganishe wao kwa wao. Usibabaike na first class (paper qualification) ya Migiro. Angekuwa smart asingekubali kuwa dragged into the CCM mess. The fazafaka has squandered her entire political capital in less than one year!Leo tujadidili ugwiji wa miamba hii miwili; Asha Rose Migiro first class ya law UDSM na Mnyika TO Tanzania. Nani ametisha
FactTo be fair, fanya apple-to-apple comparison. Idiots wa CCM walinganishe wao kwa wao. Usibabaike na first class (paper qualification) ya Migiro. Angekuwa smart asingekubali kuwa dragged into the CCM mess. The fazafaka has squandered her entire political capital in less than one year!