Au inategemea na browser unayotumia.Kwenye kuedit hapo uki upload cheti kipya ukija uki view cheti cha zamani unakiona na kipya unakiona.
Yani number binafsi za mtu nikuwekee hapa?uko sawa kweli mkuu?Niwekee hata hapa
Please
Ooh okayYani number binafsi za mtu nikuwekee hapa?uko sawa kweli mkuu?
Piga za ofisi hizo si ziko kwenye website yao.watakupokelea vizuri tu na watakutatulia tatizo lakoOoh okay
naona kama hautaki kuitoa ..
Namba binafsi kivipi wakati ni namba ya ofisi .
Sijaona kwenye web ndo maana nauliza namba zao hapa .Piga za ofisi hizo si ziko kwenye website yao.watakupokelea vizuri tu na watakutatulia tatizo lako
Angalia vizuri zipoSijaona kwenye web ndo maana nauliza namba zao hapa .
Kwa wapiAngalia vizuri zipo
Hiyo hapo,ila ukifanikiwa kuwapata na wakakutatulia shida yako uje kutoa ushuhuda hapa. Maana ni wazinguaji hatariKwa wapi
Itakuwa macho yangu hayaoni vizuri
Ooh thanksHiyo hapo,ila ukifanikiwa kuwapata na wakakutatulia shida yako uje kutoa ushuhuda hapa. Maana ni wazinguaji hatari
View attachment 2193884
ulisave baada yakuedit??Ndio tatizo hilo na hata mm imenkuta hlo na nlpga simu zao ili wansaidie kufuta hizo vyeti vilivyojirudia
Huyo achananae mkuu,, kwanza mtu mpaka unafungA PM unaogopa nn..!! kama kutongozwa mwanamke si kitu Cha kawaida na kama hutaki si unakataa kwa kukataa ni dhambi..? nawamaindi sana hii mijike inayoona PM zao kama dhahabuYani number binafsi za mtu nikuwekee hapa?uko sawa kweli mkuu?
πππππππHuyo achananae mkuu,, kwanza mtu mpaka unafungA PM unaogopa nn..!! kama kutongozwa mwanamke si kitu Cha kawaida na kama hutaki si unakataa kwa kukataa ni dhambi..? nawamaindi sana hii mijike inayoona PM zao kama dhahabu
Mweh acha kupanick bhanaHuyo achananae mkuu,, kwanza mtu mpaka unafungA PM unaogopa nn..!! kama kutongozwa mwanamke si kitu Cha kawaida na kama hutaki si unakataa kwa kukataa ni dhambi..? nawamaindi sana hii mijike inayoona PM zao kama dhahabu
Asante nimewapata ila inahitaji uvumilivuHiyo hapo,ila ukifanikiwa kuwapata na wakakutatulia shida yako uje kutoa ushuhuda hapa. Maana ni wazinguaji hatari
View attachment 2193884
Hii habari ya kufunga PM Mabaharia kama Mimi Huwa inatoboa sana.. funguka usaidiwe wwππMweh acha kupanick bhana
Maisha ni haya haya unatoa povu kwa mtu usiyemjua
Tuwe humble jamani
Mambo ya PM hata simamind kwa kweliHii habari ya kufunga PM Mabaharia kama Mimi Huwa inatoboa sana.. funguka usaidiwe wwππ
Utakosa mambo mazuri,kama ni kutongozwa utatongozwa tu hata kanisani.Mambo ya PM hata simamind kwa kweli
Hata hivyo amenisaidia hapa hapa inatosha.
Mmengangania mtongozo jamani ππUtakosa mambo mazuri,kama ni kutongozwa utatongozwa tu hata kanisani.
Si ndo mnachowaza mda wote nyie.. Mfano Jana nimekutana na braza mmoja Niko mbele yake kanistua, issue yake kubwa anaomba msaada wa ofisi moja nimuelekeze afike.. bila hiyana Baharia nikampanga chapu, Ila hakusita kunipa ushuhuda wake,, akasema kakutana na wadada kibao kajaribu kuwasimamisha awaulizie Ila wote walijifanya kama viziwi. Yaan Hadi nikahisi maumivu kana kwamba me ndo nimefanyiwa hiyo issue. True that hawa wadada wote walikuwa wanasikia vizuri Ila hofu Yao ni kutongozwa tu.. acheni hizo mambo bhna mnakera kinyamaMmengangania mtongozo jamani ππ
Tupo jukwaa la ajira hili
Si ndo mnachowaza mda wote nyie.. Mfano Jana nimekutana na braza mmoja Niko mbele yake kanistua, issue yake kubwa anaomba msaada wa ofisi moja nimuelekeze afike.. bila hiyana Baharia nikampanga chapu, Ila hakusita kunipa ushuhuda wake,, akasema kakutana na wadada kibao kajaribu kuwasimamisha awaulizie Ila wote walijifanya kama viziwi. Yaan Hadi nikahisi maumivu kana kwamba me ndo nimefanyiwa hiyo issue. True that hawa wadada wote walikuwa wanasikia vizuri Ila hofu Yao ni kutongozwa tu.. acheni hizo mambo bhna mnakera kinyama