Academic qualifications kwangu tatizo

MBOSA boy

Member
Joined
Sep 2, 2021
Posts
48
Reaction score
31
Jamani naombeni msaada nataka kuomba Kazi Ila Cheti changu kilikua hakijawa certified saiz nime certify nashindwa kukiweka na kile ambacho not certified nakitoaje??
 


bonyeza hapo kwenye edit then utakuja sehemu yakuattach document utaweka hicho certified copy then utabonyeza save inakuwa tayari
 
Ndio walinisaidia kwa kufuta vyeti vyangu ambayo vilijirudia na kuacha kile ambacho kipo vzur
Ulipiga number zipi?maana kwangu kila ninazozipiga za customer care hawapokei
 
Portal imekua ya kingese hii
😁😁😁 Portal Yao imekaa kimichongo sana.. me niliattach picha yangu( passport) ikaja kukaa baada ya wiki 2.. so ubaya ni kuwa unaweza weka hvyo vyeti certified ukaamini ushaedit tayar kumbe kitu hakijasoma huko kwao baadae kwenye shortlisted unaambiwa hujacertify vyeti.
Account yangu nataka nifanye editing ya Kila kitu via Simu but nikimaliza lazima niende kwenye mashine kubwa nikacheck kama kweli vimekaa
 
Ni kweli aisee ...ukitumia simu hairefkect hapo hapo

Sent from my TECNO CC6 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…