Acacia Yatutangaza Vibaya Duniani, Yadai Tanzania Kuna " risks to the safety and security of people"!, Mwekezaji Gani Ata Invest Kwenye Such Risks?!.

Selekali ya tz iendelee kuwa bana hivyo hivyo unajuwa watanzania walio ajiliwa wananyanyaswaje na hao washenzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Paskali wewe ni mnafiki sabb ulishawahi kulalamika humu jinsi wamiliki wa sekta ya habari wanavyoenda na maji kwenye utawala huu mashuhuda wa huo uzi wapo na ukibisha tutauweka hapa hadharani na kama wakati ule ulikuwa na kichaa ukane. Paskali unapaswa kujua hakuna mwekezaji yoyote hata wewe anayetaka hasara kwa fedha alizowekeza ndiyo maana ullalamika hapa. Acacia wana haki ya kulalamika kwa haya yanayoendelea (Paskali enzi zile za sindano za kuchemsha na kukosa makali mwenzio akitangulia kudungwa na kupiga kelele wewe unayefuata unabana tako). Acacia kulalamika ni haki yao kama ulivyolalamika wewe wakati ule ninachoomba utulie wakati magufuri anatutandika sindano ya sumu kwa manufaa ya Kagame
 
Ubaya siku zote haulipi.
Acacia baada ya kutufanyia ubaya. sasa inakabiliwa na kifo cha hostile take over.
P
 
Ni kama ......

AMERICAN PASTOR ARRESTED IN UGANDA ON CHARGES OF ASSAULT IN THE NAME OF JESUS


Waganda wenzake wanaangalia bila kumsaidia mwafrika mwenzao
Muzungu alishatumaliza kiakili
 
Paskal kuna kitu kimenichanganya wanatutangaza vibaya Tanzania au inatangazwa vibaya serikali ya CCM maana wapinzani wa CCM Mara nyingi wakiambiwa kwanini wanaichafua Nchi wanasema sio wanaichafua serikali ,sasa naomba utuambie vizuri
 
Wanabodi,
Hatimaye huu mtanange wa Acacia kununuliwa na Barrick, hatimaye umefika mwisho jana, kwa Barrick kutoa tangazo la kuinunua Acacia, na Acacia kutoa tango la kukubali kununuliwa na Barrick.

Tangazo la Barrick la Kifo cha Acacia ni Hili
PRESS RELEASES
Recommended Final Offer For Acacia Mining Plc By Barrick Gold Corporation – July 19, 2019

Tangazo la Acacia kukubali kununuliwa na Barrick ni hili

Hii maana yake ni
  1. Sasa mgogoro wa Acacia na serikali yetu, umemalizika rasmi kwa sababu sasa Acacia doesnt exist anymore.
  2. Migodi yote mitatu iliyokuwa chini ya Acacia, sasa itakuwa chini ya Barrick
  3. Yale makubaliano ya serikali yetu sasa yatatekelezwa.
  4. Kwa kuanzia tutalipwa dola milioni 300 zilizokuwa ni kishika uchumba, lakini sasa sio kishika uchumba tena bali ni kifuta machozi cha kusamehe lile deni kubwa la kodi la dola bilioni 190.
  5. Barrick ataunda kampuni mpya ya ubia na Tanzania kuchukuwa shughuli za Acacia
  6. Kwenye hiyo kampuni mpya, serikali ya Tanzania itakuwa na shares asilimia 16%.
  7. Bodi ya hiyo kampuni mpya itakuwa na Watanzania.
  8. Makao Makuu yatakuwa Tanzania
  9. Menejiment itakuwa na Watanzania.
  10. Tutagawana manufaa ya kiuchumi pasu kwa pasu, yaani 50/50.(NB.Manufaa ya kiuchumi ni economic benefits na sio faida profits)
Huu ndio utakuwa ushindi wa kwanza wa kishindo wa rais Magufuli na awamu ya Tano kwa kuanza rasmi utekelezaji wa kwanza wa sheria mpya ya madini.
Hongera Kabudi, Hongera Magufuli, Hongera Watanzania, ila kwenye makinikia, bado kuna lakini!.
Leo tupongezane kwanza, lakini tuzijadili baada ya kusainiwa makubaliano yenyewe!.
Paskali
 
Huyu acacia ni marehemu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…