Afadhali umejidhihirisha mwenyewe kwa shighuli za kujiongeza bila kuiba! Lakini unasahau jambo moja muhimu sana kuwa hicho huwa hakiuzwi kwani ulikipata bure kabisa. Na kama kweli wewe sio mwizi mbona mapato yatokanyo na hiyo biashara yako hupeleki kodi tra? Nitaupeleka mswada bungeni wa kudai hiyo biashara yako iongezwe kwenye vyanzo vya mapato kwani inakulipa sana. Bado unaendaga corner bar?Ha ha haaaaaa
Unatamani uwe yeye
Jipige vibao vya usoni ulie kwa kujiongezea maumivu unayoyapata kwa kusaga meno.. na bado ulizoea ya dezo jifunze kusaka kivyako.. mvivj wewe usiye hata na fikra za kujiongeza bila kuiba.
Wewe huna nani akupe?Hivi hakuna habari zingine za watu kuongiza pesa mkawa mnazirusha humu kuliko haya ya kampuni hiyo kila sekunde.. maana mnaboa sasa.
Kuna mengi mnaweza kuelimishana na watu nchini wakaanza kupata pesa ndefu na kuongea kama hao mnawaongelea kama vile nyie bado watumwa wa hao watu...
Afadhali umejidhihirisha mwenyewe kwa shighuli za kujiongeza bila kuiba! Lakini unasahau jambo moja muhimu sana kuwa hicho huwa hakiuzwi kwani ulikipata bure kabisa. Na kama kweli wewe sio mwizi mbona mapato yatokanyo na hiyo biashara yako hupeleki kodi tra? Nitaupeleka mswada bungeni wa kudai hiyo biashara yako iongezwe kwenye vyanzo vya mapato kwani inakulipa sana. Bado unaendaga corner bar?
My Take.
The borne of contention ni tunaibiwa kwa sababu hatujui kilichomo kwenye ule mchanga.
Paskali
Mkuu Martin Senzo, kuna tofauti ya kilichomo na kinachopatikana, kwa vile tumedai kuibiwa kinachopatikana, the only way conclusive ni kuchenjua kilichopo, halafu hesabu ya tuichoibiwa ikokotolewe kutoka kilichopatikana kwa sababu sio kilichopo ni extractable, makataba wetu wa mwanzo ni dhahabu, Shaba na fedha tuu, madini mengine yote was none of our business, hivyo japo ni kweli Acacia walikuwa wanatuibia, lakini katika kuwadai walichotuibia, tuwatendee haki kwanza kwa kujua kwa hakika, tulikuwa tunaibiwa nini na ni kiasi gani, hii hakika inaweza kupatikana kwa sisi kuchenjua kilichomo, hakuna njia nyingine ya kujua hili.Haujui vipi kilichomo wakati Prof Mruma na team yake walifanya "Assay Analysis" ya concentrate kwenye containers. Kama hukuamini average ya 1400g/t gold ya Prof Mruma basi amini ya TMAA = ACACIA +plus ambayo ni 200g/t of gold.
hiviiii... hili deni limeshasahauliwa baada ya kuahidiwa takrima ya $b300?? au $b700? ambayo hatuatipata hata robo yake?Tooobaaa yaani tumeshushwa kutoka 450 trillion?
mkuu Pascal MayallaMkuu Martin Senzo, kuna tofauti ya kilichomo na kinachopatikana, kwa vile tumedai kuibiwa kinachopatikana, the only way conclusive ni kuchenjua kilichopo, halafu hesabu ya tuichoibiwa ikokotolewe kutoka kilichopatikana kwa sababu sio kilichopo ni extractable, makataba wetu wa mwanzo ni dhahabu, Shaba na fedha tuu, madini mengine yote was none of our business, hivyo japo ni kweli Acacia walikuwa wanatuibia, lakini katika kuwadai walichotuibia, tuwatendee haki kwanza kwa kujua kwa hakika, tulikuwa tunaibiwa nini na ni kiasi gani, hii hakika inaweza kupatikana kwa sisi kuchenjua kilichomo, hakuna njia nyingine ya kujua hili.
Paskali
Mkuu Martin Senzo, kuna tofauti ya kilichomo na kinachopatikana, kwa vile tumedai kuibiwa kinachopatikana, the only way conclusive ni kuchenjua kilichopo, halafu hesabu ya tuichoibiwa ikokotolewe kutoka kilichopatikana kwa sababu sio kilichopo ni extractable, makataba wetu wa mwanzo ni dhahabu, Shaba na fedha tuu, madini mengine yote was none of our business, hivyo japo ni kweli Acacia walikuwa wanatuibia, lakini katika kuwadai walichotuibia, tuwatendee haki kwanza kwa kujua kwa hakika, tulikuwa tunaibiwa nini na ni kiasi gani, hii hakika inaweza kupatikana kwa sisi kuchenjua kilichomo, hakuna njia nyingine ya kujua hili.
Paskali
wamesama cash hiyo ya kulipa kwa mara moja ndio hawana, ila kidogo kidogo, watalipa.
Paskali
- In principle, Acacia wamezikubali hoja zote za makubaliano ya serikali na Barrick.
- Watalipa hiyo dola milioni 300 ila sio upfront but in instalments kwa sababu hawana hiyo cash
I can subscribe to this it makes sense.Nimelisoma tamko la Barrick, wamezungumza kuwa kutakuwa na FIFTY-FIFTY split ya economic benefits. Na Barrick hawakumung'unya maneno wakasema kuwa ile FIFTY yetu itatokana na royalties, kodi na asilimia 16 nyingine ( free carry interest).
Unaweza kulisoma tamko la Barrick hapa:
Barrick Gold Corporation - Barrick Comments on Proposed Framework for Acacia Mining plc Operations in Tanzania
Kwa hiyo ni dhahiri, tamko la Barrick liko wazi na linajieleza, hata hivyo, kwa mujibu wa uwekezaji katika madini as far as I know mpaka june mwaka huu , Kodi zifuatazo zilikuwa zikitozwa katika sector ya madini
1. Coprorate Income tax (Kwa kampuni ya madini hii ni kodi katika faida nzima inayopatikana katika madini) ambayo ni 30%
2. Huwa kuna Mirahaba (Royalties) kwa mujibu wa sheria ya zamani ilikuwa 4%, Lakini kwa sheria ya sasa itakuwa 6% kwa madini ya dhahabu.
Ukiachilia mbali na hizo:
(1) Bado kuna duties and levies
(2) Bado kuna free carried Interest ya asilimia 16%(Yaani hizi ni share za bure kwa serikali ambazo serikali hata bila ya kuchangia mtaji ni za kwake):
ukiangalia hizo percentage : Ukichukua 30% ya Income Tax + 16% ya Free carried Interest = 46%
(Hii ni baada ya sheria ya madini kufanyiwa marekebisho mwaka 2017, kwa kupandisha Free carried Interest mpaka 16% kutoka ile 10%).
Laiti tungetumia sheria ya zamani economic benefit yetu ingekuwa 30% Income tax +10% Free carried Interest =40%, yaani utaona kuwa imepanda kwa 6% tu baada ya sheria mpya
Halafu ukichukulia zile 6% za mrahaba Plus Duties and levies bila shaka kwa jinsi ninavyoona roughly itakwenda Kucover zile 4% iliyobaki ili kutengeneza 50% ambayo Barrick wao wanaita economic benefit. I see kwamba kabla ya dili hili na Barrick halali yetu ingekuwa roughly ni 40% +4% =44%
So as far as I see na kwa jinsi nilivyowaelewa maelezo ya Barrick ni kwamba, Deal jipya na Barrick limetuwezesha kupanda kutoka roughly 44% hadi 50%, Ongezeko la Takriban 6% tu!