Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,211
- 26,213
Nimesoma toleo la ACACIA magazetini leo, wakijitetea kuwa kamati ya Uchunguzi ya mchanga imedanganya umma.
Mwisho wakaishia kusema wanapata hasara ya Dola milioni moja kwa siku moja!
Hasara hii ni kwa mchanga tu?
Kwa hiyo huo mchanga ulikuwa unalipa hizo gharama,zote!
Pale Tanga kuna tishari lilizama na makontena 8, hao jamaa walileta wazamiaji toka Canada na kuokoa makontena 7, moja halikupatikana kutokana na kuzama kwenye tope zito.
Walikuwa wanaokoa mchanga tu?
Kweli tumeliwa kama wajinga kwa muda mrefu!
ACACIA mmempata kichwa maji safari hii, JPM endelea kuwafunga kengele.