ACACIA hawajalipa kodi toka mwaka 2000 yasema TRA

ACACIA hawajalipa kodi toka mwaka 2000 yasema TRA

eden kimario

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2015
Posts
10,355
Reaction score
16,408
951196a2c46994084f2162fc901a1110.jpg
huwa najiuliza kama mambo haya ni kweli na iliwezekana vipi toka mwaka 2000 hawajalipa kodi
Najiuliza tu nani wako nyuma ya ACACIA mpaka hawaoni sababu ya kulipa kodi toka mwaka 2000
 
Makadirio kodi riba dola bilioni 190 hajawahi kutokea popote duniani hadi kutia shaka hesabu za TRA.
 
951196a2c46994084f2162fc901a1110.jpg
huwa najiuliza kama mambo haya ni kweli na iliwezekana vipi toka mwaka 2000 hawajalipa kodi
Najiuliza tu nani wako nyuma ya ACACIA mpaka hawaoni sababu ya kulipa kodi toka mwaka 2000
TRA.mlikua wapi muda wote.kuna MTU hatajwi hapa.mnakimbiza mama ntilie kudai sh.elfu 50.mnaacha trilion of dolar.nadhani kinga iondolewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya mambo haya yako tz tu kampuni hazilipi kodi kwa miaka 17
Huku raia mtaani wakisumbuliwa kila uchao
 
Trilioni 400 jamani si tungeigeuza Tanzania kama ulaya
Au mazingaombwe?!!
 
TRA ilikuwepo tu huku jukumu lake kubwa likiwa kukusanya kodi. Walikua wapi siku zote hizo?
 
Walikuwa wanatuongezea gharama kwenye umeme, wanatutengeneza mgao wa umeme .. Daaah hawa jamaa wana dhambi sana aisee
 
Haya yote chini ya serikali ya chama gani?na saizi ni chama gani? Wanafiki
 
Ccm narudia ccm mnatufanya mabwege mpaka lini we r not animals even animals think how to eat pelekeni huu ujinga mbali this is rubbish mnamtaftia JPM speech atangaze anakusanya kodi huku hakuna maendeleo yeyote anayo leta zaidi ya vitisho na kudanganya wananchi " am tired of kuskia mimi ni msema kweli niombeeni" hujaomba kura kuombewa u need to do what watanzania walichokutuma ....aaagghhhhh
 
Back
Top Bottom