AC ya gari yangu inakuja na kukata

INSIDER MAN

JF-Expert Member
Nov 7, 2018
1,736
15,858
Wakuu habari zenu.

Gari yangu ni Premio ila kuna shida naiona kwenye AC. Kuna muda AC inakuja kuna muda inakata.

Shida itakuwa ni nini?
 
Hapo ni compressor tuu maana hizi premeo Huwa Zina compressor ambazo hubana ndani Sasa ikifail tuu ubaridi Huwa unakuja na kukata.Badilisha compressor weka oil yake Kisha jaza gas itakuwa poa.

Mkuu shida ni Compressor hapo na gharama zake zikoje?
 
Wakuu habari?

Finally nimesovu tatizo ishu ilikuwa ni Compressor, nimebadilisha kila kitu kipo sawa 100%. Compressor niliamua kurudi nayo home ikae ndani tu.



IMG_2501.jpg
 
Back
Top Bottom